PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanampotezea muda tu mheshimiwa TAL
na hiyo ndio adhabu ya mwanzo kabisa ya mtuhumiwa uhalifu au mfungwa yeyote anaesota korokoroni.

adhabu ya pili ni kumkosesha uhuru mtuhumiwa muhalifu n.k.

ndio maana kutii sheria bila shuruti ni jambo muhimu na la maana sana 🐒
 
Matangazo ya Online yamekata ghafla, au wameanza hujuma baada ya kuona Lissu anatema nondo kali?
 
Askari wetu wanatumia nguvu nyingi sana kumlinda na kumzunguka Lissu kwa mitutu ya bunduki, wangeelekezq hiyo nguvu kulinda raia wasitekwe Tanzania ingekua salama sana
 

Wakati imezoeleka kuwa mshitakiwa hutangulia kupanda kizimbani kabla ya hakimu kuingia, katika kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakimu ndio anatangulia kuingia kuingia katika ukumbi wa Mahakama kisha mtuhumiwa.

Baadaya Lissu kuingia mahakamani, waandishi wa habari wakatolewa nje ili wasimpige picha.
 
Wanaogopa hadi sura ya Lissu, huu utawala ni wa kijinga sana, sasa Lissu akipigwa picha kuna tatizo gani? Au deni la Taifa litaongezeka?
 
Watashindana lakini Hawatashinda.

No reform no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…