PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani mnafuata sheria gani huko au mnafuata matakwa yenu kumkomoa? Sema ni sheria gani inayokataza yeye asionane na mawakili wake? Usilete hisia zako za kiumalaya hapa.
ni sheria ipi inaruhusu aonane na mawakili wake gentleman?🐒
 
Tuendelee kumlilia Mungu
 
Duu! Matusi yangekuwa bidhaa, CHADEMA wangekuwa matajiri wakubwa duniani.

Go on peoples!
 
Update mkuu
 
Halafu hakimu ameona aibu anamwambia yuokoe muda
si ili awaokoe hao jamaa, ila Lissu kawaweka kwenye 18 tena, next two weeks wanatakiwa kuja na majibu ya DPP. maana baada ya kukabwa wakasema upelelezi umekamilika na jalada liko kwa DPP, kakubali ila kawatega, hio terehe moja july siju watasemaje
 
ni sheria ipi inaruhusu aonane na mawakili wake gentleman?🐒
Nimukuuliza usifanye ujuha wako ewe mtafiti uchwara. Unategemea kitu usichokuwa na ushahidi nacho. Jitahidi utapa uteuzi wa kuja kufyagia vyoo vyangu ili nikulipe kwa kila mwezi naona samia amekusahau.
 
si ili awaokoe hao jamaa, ila Lissu kawaweka kwenye 18 tena, next two weeks wanatakiwa kuja na majibu ya DPP. maana baada ya kukabwa wakasema upelelezi umekamilika na jalada liko kwa DPP, kakubali ila kawatega, hio terehe moja july siju watasemaje
Lissu anajua wapi pa kushika, amwaminya haswaa, hapo mawakili wa serikali wakajiwndae maana wiki ijayo watakoma
 
Pale mahakamani nimeona geti limelegea nitajitolea kulichomelea ili Lissu asije kufanikiwa kutoroka
 
Nimukuuliza usifanye ujuha wako ewe mtafiti uchwara. Unategemea kitu usichokuwa na ushahidi nacho. Jitahidi utapa uteuzi wa kuja kufyagia vyoo vyangu ili nikulipe kwa kila mwezi naona samia amekusahau.
huna haja ya kuropoka ikiwa huna uelewa wala ufahamu wa kutosha dhidi ya sheria na makosa ya uropokaji yanayomuandama huyo muungwana korokoroni.

ni muhimu kua mtulivu na mstaarabu, utaratibu anaodai mtuhumiwa haupo kulingana anavyotaka yeye.

in fact mropokaji anaonyesha kujutia uropokaji wake 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…