PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Tatizo linaanza umeajiliwa kama Askali magereza unatumika kama kiungo cha unyanyasaji watu.
 
Hakuna Askari magereza aliyemfikisha Tundu Lissu mahakamani,Bali ni gereza la ukonga ndilo linalomleta Lissu mahakamani kila akihitajika.

Acheni utoto
 
Omba sana Mungu na tema mate chini mkuu usije ukaingia kwenye 18 zao ndio utajua ni kamanda au ni ushuzi.

Kama nina haki niatateswa tu lakini siwezi kufa kizembe.
Infact mimini mtafutaji so any time naweza kwenda huko
 
ama kiswahili ni kigumu sio kuhairishwa ni kuahirishwa
 
uropokaji unaokiuka sheria ndio unamsotesha korokoroni huyo kibaka na tapeli wa kisiasa gentleman,

huna haja ya mihemko wala kumbwelambwela kwa makasiriko gentleman 🐒
 
Lengo ni kumkomoa Lisu na wala hakuna kesi, nashauri Lisu agome kula na kuja mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…