Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
haijaisha hapo gentleman,Criminal Procedure Act imeweka wazi kabisa haki ya mshtakiwa kuonana na mawakili wake.
eleza kwa kifupi pia inakataza nini wakati gani gentleman š
haijaisha hapo gentleman,Criminal Procedure Act imeweka wazi kabisa haki ya mshtakiwa kuonana na mawakili wake.
Siwezi kujibu hoja ambayo kimsingi hukupaswa hata kuiandika kama una uwezo wa kufikiri.Sawa.
Ungekuwa unatumia ubongo, ungejibu comment moja kwa moja
Ndio ujinga wa jitu jeusi mungu angekua anasaidiwa huyo lissu asinge hata kamatwa Kaa hapo ukimsubiri mungu wenzio ccm hawana mda huo wanakupa kisago tu
Huyu mbona hayupo gerezani we Chawauropokaji unaokiuka sheria ndio unamsotesha korokoroni huyo kibaka na tapeli wa kisiasa gentleman,
huna haja ya mihemko wala kumbwelambwela kwa makasiriko gentleman š
Kweli Mimi naweza kua kichaa Kwa akili Yako insvyosema Wala sikukatalii ila Kaz ulikua haki haiombwi haki inatakwa Sasa wewe endelea kuomba haki ukiwa ndaniUpo sahihi, Hata kichaa huwa anaeleweka na kuchukuliwa maana uwezo wake wa kufikiri ni mdogo
bila mihemko,Huyu mbona hayupo gerezani we Chawa
View attachment 3371328
Jibu Acha kuzunguka mmbuyubila mihemko,
waeleze wadau wa JF wasio kua na muda wa kutazama video gentleman š
Siyo shida Mungu wa kupanga nani awe huru na nani ateswe.Lissu ataendelea kukaa mahabusu hadi mwakani
Sisi ni wa enzi za Agano Jipya hatupigana kimwili tuWakina Abaraham walipigana Vita, Daudi alipigana vita sasa nyie lalelini uku mkingoja Mungu afanye kwa niaba yenu
Dana dana zipo nyingi sana na hazina msingiLissu ataachiwa baada ya Uchaguzi.
Hakimu anawaza sana atafanyaje.......ukweli anaujuaHadi Hakimu mwenyewe ameshangaa
msaidie mdau kuwaeleza wadau wa JF wasio na muda wa kutazama video gentleman na itapndeza zaidi šJibu Acha kuzunguka mmbuyu
Ova
Ofcourse sio kwamba hawajuiCriminal Procedure Act imeweka wazi kabisa haki ya mshtakiwa kuonana na mawakili wake.
Hawezi kujibu, uchawa tu ndo umemjaa kichwaniAkikujibu unintag
Ova
Na hakimi naye anaenda na upepo huo huo wala hajali haki za Mahabusu.Sheria gani hii ya kuahirisha kesi kila inapotajwa? Ndio kusema lissu akae ndani mpaka novemba uchaguzi upite? Hofu ya nini wakati somo la no reforms, no election limeeleweka na walimu wanaendelea na mada zingine?
Kweli Mimi naweza kua kichaa Kwa akili Yako insvyosema Wala sikukatalii ila Kaz ulikua haki haiombwi haki inatakwa Sasa wewe endelea kuomba haki ukiwa ndani
Na utekaji na mauwaji ingekuwa utajiri basi Elon Must akasome.Duu! Matusi yangekuwa bidhaa, CHADEMA wangekuwa matajiri wakubwa duniani.
Go on peoples!
ataachiwa lini? Wananchi tunataka masomo ya haki kwenye uchaguzi wa huru na waziLissu ataachiwa hakuna ushahidi wa maana dhidi yake.