Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huku tunaishi kwa huruma ya Rais na siyo sheria na taratibu, mtu anaitwa DPP anapewa mamlaka makubwa mno bila sababu kulinda watawala madhalimuWenzetu walioendelea ukiona umekamatwa na kupelekwa mahakamani ujue A-Z zimefika asilimia 89 ila huku TZ unakamatwa kisha upelelezi ujakamilika.
Ndio maana kesi zimejaa magerezani watu kufungwa bila haki zao
Siku mumeo akisingiziwa kesi ya kijinga ndiyo akili ako itakaa sawa. Mjinga mkubwa weweHao mawakili wa Chdema hawapo na Lissu kwa maana hawamtakii heli,inakuwaje kesi ndio kwanza imeanza tuseme hata kuanza bado ndio kwanza usikilizaji haujaisha, wanadai unacheleweshwa ?
Tatizo mlizoea Serikali ya kijeshijeshi ile ya babu Magufuri ...fungia ndani nyonga... Hamna Hii serikali ya Raisi SSH haina haraka inakwenda taratibu ,na mnajua Chelewa ufike ,ila kuna wachadema wanakihitaji kiti cha Lisu leo kabla ya kesho utawasikia wakiharakisha maamuzi.
Huu sasa ndo uwezo wa kuchanganua mambo wa mtu mwenye elimu ya ngumbalu, ndo maana kinjeketile wala hakupata shida na kizazi chenu enzi hizo! aliwaambia tu "SEMA MAJIII!" nasikia yalaaaah! nafwaa.Hao mawakili wa Chdema hawapo na Lissu kwa maana hawamtakii heli,inakuwaje kesi ndio kwanza imeanza tuseme hata kuanza bado ndio kwanza usikilizaji haujaisha, wanadai unacheleweshwa ?
Tatizo mlizoea Serikali ya kijeshijeshi ile ya babu Magufuri ...fungia ndani nyonga... Hamna Hii serikali ya Raisi SSH haina haraka inakwenda taratibu ,na mnajua Chelewa ufike ,ila kuna wachadema wanakihitaji kiti cha Lisu leo kabla ya kesho utawasikia wakiharakisha maamuzi.
Unajua ulicho andika? Kama wangekuwa hawako nae wasinge muwakilisha. Wanawasiliana nae sana, ni lissu ambae amegoma kufanya kwa mtandaoHao mawakili wa Chdema hawapo na Lissu kwa maana hawamtakii heli,inakuwaje kesi ndio kwanza imeanza tuseme hata kuanza bado ndio kwanza usikilizaji haujaisha, wanadai unacheleweshwa ?
Tatizo mlizoea Serikali ya kijeshijeshi ile ya babu Magufuri ...fungia ndani nyonga... Hamna Hii serikali ya Raisi SSH haina haraka inakwenda taratibu ,na mnajua Chelewa ufike ,ila kuna wachadema wanakihitaji kiti cha Lisu leo kabla ya kesho utawasikia wakiharakisha maamuzi.
Wewe mwanamke, uko kwenye siku zako au? make unaongea ujingaHao mawakili wa Chdema hawapo na Lissu kwa maana hawamtakii heli,inakuwaje kesi ndio kwanza imeanza tuseme hata kuanza bado ndio kwanza usikilizaji haujaisha, wanadai unacheleweshwa ?
Tatizo mlizoea Serikali ya kijeshijeshi ile ya babu Magufuri ...fungia ndani nyonga... Hamna Hii serikali ya Raisi SSH haina haraka inakwenda taratibu ,na mnajua Chelewa ufike ,ila kuna wachadema wanakihitaji kiti cha Lisu leo kabla ya kesho utawasikia wakiharakisha maamuzi.
Dhuluma dhidi ya haki. Tundu Lissu aachiwe huruKesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa
View attachment 3325993
Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya amesema upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika hivyo kuiomba Mahakama kuhairisha hadi tarehe nyingine
Hata hivyo, taarifa hiyo imeonekana kutopokelewa vyema na Mawakili wa utetezi wakiongozwa na Wakili Mpale Mpoki ambapo wameieleza Mahakama hiyo kuwa hawafurahishwi kwa namna upande wa Jamhuri unavyochelewesha upelelezi wa shauri hilo, hivyo kutumia hadhara hiyo kuomba kupatiwa maelezo ya kina ni kipi hasa kinakwamisha upelelezi wa shauri hilo ambalo tangu mwanzo ilielezwa kuwa ushahidi wake uko kwenye mtandao wa YouTube
Pia, Soma: Fuatilia LIVE Kesi dhidi ya Tundu Lissu. Inasikilizwa muda huu mahakamani
Upande wa Jamhuri kupitia kwa Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya uliieleza Mahakama kuwa hakuna kifungu chochote cha sheria kinachowalazimisha kueleza nini kimesalia kwenye upelelezi, badala yake alitumia fursa hiyo kuieleza Mahakama kuwa pindi upelelezi wa shauri hilo utakapokamilika wataweka taarifa zake kwenye mfumo 'mtandao' sambamba na kuwapatia Mawakili wa utetezi
Hoja kubwa iliyowasilishwa na Mawakili wa utetezi Mahakamani leo kuhusiana na shauri hilo ni kwamba upelelezi ukamilike kwa wakati ili shauri hilo likasikilizwe Mahakama Kuu kama inavyotakiwa, kwani kuchelewesha kufanya hivyo ni kutomtendea haki mteja wao
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili, Hakimu Mkazi Mwandamizi Godfrey Mhini anayesikiliza shauri hili alitoa wito kwa upande wa Jamhuri kuhakikisha wanaharakisha upelelezi na kwamba tarehe inayofuata shauri hilo kutajwa wahakikishe waeleze hatua iliyofikiwa, baada ya kueleza hayo akaahirisha shauri hilo hadi Mei 19.2025 kwa ajili ya kutaja
Hata hivyo, mtuhumiwa wa kesi hiyo Tundu Lissu aliendelea kugoma kushiriki shauri hilo kwa njia ya mtandao, na badala yake Mkuu wa Gereza Ukonga Kamishna Msaidizi wa Magereza Juma Mwaibako alisema alipowasiliana na mshtakiwa amegoma kusikiliza shauri hilo kwa njia ya mtandao.
Chanzo: Jambo TV
Ndiyo sababu ulitolewa kwa scissor baada ya kuona unapenda kuchelewa!Hao mawakili wa Chdema hawapo na Lissu kwa maana hawamtakii heli,inakuwaje kesi ndio kwanza imeanza tuseme hata kuanza bado ndio kwanza usikilizaji haujaisha, wanadai unacheleweshwa ?
Tatizo mlizoea Serikali ya kijeshijeshi ile ya babu Magufuri ...fungia ndani nyonga... Hamna Hii serikali ya Raisi SSH haina haraka inakwenda taratibu ,na mnajua Chelewa ufike ,ila kuna wachadema wanakihitaji kiti cha Lisu leo kabla ya kesho utawasikia wakiharakisha maamuzi.
Chupi ya bibi yako ww kwa hiyo unataka upelelezi ufanyike miaka saba na kama hatakutwa na hatia hiyo miaka saba aliyokaa mahabusu itafidiwa?Hao mawakili wa Chdema hawapo na Lissu kwa maana hawamtakii heli,inakuwaje kesi ndio kwanza imeanza tuseme hata kuanza bado ndio kwanza usikilizaji haujaisha, wanadai unacheleweshwa ?
Tatizo mlizoea Serikali ya kijeshijeshi ile ya babu Magufuri ...fungia ndani nyonga... Hamna Hii serikali ya Raisi SSH haina haraka inakwenda taratibu ,na mnajua Chelewa ufike ,ila kuna wachadema wanakihitaji kiti cha Lisu leo kabla ya kesho utawasikia wakiharakisha maamuzi.
🌈Hao mawakili wa Chdema hawapo na Lissu kwa maana hawamtakii heli,inakuwaje kesi ndio kwanza imeanza tuseme hata kuanza bado ndio kwanza usikilizaji haujaisha, wanadai unacheleweshwa ?