Mbona hujajibu lolote, badala yake unakwenda porini ?Kijana umekula kwanza ?
Hivi mbona taifa lina vijana wa hovyo hovyo kama aina yako?
Sawa hizo ni geresha na hadaa, Je ambazo sio geresha na hadaa ziko wapi?
Kuna mijadala kama hauna hoja ya kuchangia kukaa kimya ni bora kuonyesha Upumbavu wako hadharani
Eleza tu kuwa sheria hiyo aliyotaja huyu uliye mjibu haipo; au kuna sheria nyingine mbadala ya hiyo na kuitaja. Sote tutakuelewa.