..kama upelelezi haujakamilika basi hakuna uhalali wa kumkamata mwananchi, kumshikilia, na kumpeleka mahakamani kupoteza muda.
..kama upelelezi haujakamilika hayo mashtaka ya uhaini wameyatoa wapi? Je hizo sio jitihada za kumtesa mtuhumiwa, na kuidhalilisha mahakama?