GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lisu ni Binadamu mwezetu mm naona kakosa wakumuongoza baada ya tukio la kupigwa risasi

LISU halitakiwa kufaamu wana CCM wengi vigogo na chipukizi wengi hawakupendezwa na tukio lile !!

tukio lake limewaumiza watanzania wengi sio familia yake tu sawa pia tukio la Dada yetu Rip Aquelina,, !!

uyu bint mchanga kabisa katupotea mazima kwa risasi mtanzania gani hajauzunishwa Bint yetu alikuwa kwenye Daladala sio kuandamana sio mwanasiasa lkn ndio ivyo limekuwa Familia yake mwisho imekubaliana maisha yaendelee kwa faida ya Watanzania wote ,, !!

kuusu Lisu tukio lake kwa ujasiri mkubwa Makamu Rais wa kipindi kile bila woga wowote akafunga safari kwenda kumuona Lisu Jijini Nairobi tukumbuke wakati ule hakuna kiongoz yoyote wa Serikali haliweza kufunga safari ya kwenda kumuona Lisu pale Nairobi wote waliogopa.!!

Hapa kuna kitu cha kijifunza kwa wenye Akili yakuwa kwanza Rais Samia hajawai kuwa dhaifu tangu yupo Makam Rais!!

lkn tena Baada ya Rais Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ujue vile kachukizwa na risasi za Lisu kama tulivo chukizwa sisi wananchi wakawaida. !!

kafunga tena Safari kwenda Ubelgiji kumjulia hali na kumuakikishia Stahiki zake zote zitalipwa zilizo ndani ya Sheria zetu na nyumbani kwasasa kuna Amani rudi nyumbani tuijenge nchi yetu kwa faida ya watanzania wote.!!!

Chuki ya Lisu kwa Viongozi wa Tanzania ikabainika kutokea Lisu kulejea kutoka uko Ulaya.!!

Kalipwa zile Stahiki zake zilizondani ya Sheria zetu.
akiwa Mbunge !!

tatizo likaanza hapo Lisu kataka kulipwa na pesa za matibabu ya uko Ulaya kipindi chote yupo uko Ulaya !¿¿

sasa ndugu zangu tufaamu Sheria ya Tanzania ina process zake mpaka mgonjwa anapewa rufaa ya kutibiwa nje ya nchi. Lisu izo process hakuzifuata kwaiyo malipo yake hayapo kisheria !!!

kutokea Wizara ya Afya Wizara ya Afya ina process zake ikiwa mgonjwa kutokana na tatizo lake uyu wapi akatibiwe nje!!

baada madaktari bingwa kupendekeza kwa Wizara ya Afya ivo Wizara nayo inaomba kibari kwanza ndio sasa mgonjwa upelekwe popote Duniani ukiwaacha India !!

sasa Lisu kaomba garama za matibabu yake uko Ulaya kaja kablasha kubwa sana ilo kablasha ndio sehemu ya mgogoro wake na Serikali ya sasa !!!

Lisu ni mwanasheria kwamaana anajua process za kisheria Wizara ya Afya ni ngumu yeye kulipwa !!

lkn kazani Rais wetu wasasa ni dhaifu ivyo pamoja na ukweli madai yake ayakupitia process za kisheria kutokea Wizara ya Afya yeye katumia ilo kama Sababu ya kuendelea kuisakama Serikali ya sasa !!

tuliona gafra Lisu akimwita RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kuwa ni MZanzibar na sio Mtanganyika sijui Mwarabu wa Oman hoh DP WORLD MZanzibar kakabidhiwa rasilimali za Tanganyika meneno kibao !!!!

chanzo ni kudai pesa kinyume na Sheria 😇😇 mimi utumiaga neno tangu lini Mkombozi kuwa na kitambi manake kajivisha ukombozi baada kunyimwa madai yake Fake kwa Sheria zetu 😇😇 !!

lkn ndugu zangu niwakumbushe Tanzania ni moja siku zote ukisikia mtu leo anaongelea Utanganyika ujue kakwama sehemu !!!

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kawakemea sana wanasiasa wa kuwatenganisha wananchi kwaajili ya maslahi yao binafsi. !!

Watanzania ni wamoja na Mungu ndio kapanga Zanzibar na Tanganyika iwe nchi moja leo kuanza kuongelea utanganyika ni Udhaifu mkubwa wa mwasiasa kukosa cha kuongea kwa wananchi !!!

Pale Malawi juzi juzi wamepitisha Sheria Bungeni kutambua Ziwa Nyasa linamilikiwa na Mataifa ma3+ tofaut na uko nyuma Wanasiasa walikuwa wanalitumia lile Ziwa kisiasa kuombea kura !!!

kwa kudai wakichaguliwa wao Ziwa litakuwa Mali ya Malawi tu lote lkn ni mchezo tu wa Siasa kutafutia kura.!!

Sasa leo kupitishwa ile Sheria kunawazuiya wanaSiasa kutumia lile Ziwa !!

uko mbele ndani ya TZ sitashangaa kuja kupitishwa Sheria ya kuzuiya mwasiasa kuongelea Utanganyika na Uzanzibar mana ni kauli zisizojenga kabisa na zaidi zinagawanya Wananchi wetu.,,!!

Je tukumbuke pia watu kutokea Tanzania visiwani sio dhaifu na sio wanafiki. Mbele ya watawala chukua hii ya 1)

Rais Samia kufunga Safari kwenda jijini Nairobi na hakuna mwanasiasa mwengine kutokea uku Tanganyika kipindi kile ndani Serikali aliweza kufanya ivyo..

( 2) Profesa Mussa Juma Hassad alikuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nayeye ni MTanzania kutokea visiwani Zanzibar mnakunbuka ujasiri wake mbele ya Rais yupo Mtanganyika mwenye Ujasiri wa kufanana na Profesa Mussa Juma Hassad kuna kitu tunafaa tujifunze !!!

leo tunajuvunia ujasiri wake na kwanini watu kutokea visiwani sio dhaifu na sio waoga mbele ya Viongozi wakubwa juu yao

3) mnakumbuka kisa cha Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Zanzibar Othman Masoud leo ni Makam Rais wa kwanza pale Zanzibar kuna kitu tunaweza kujifunza kwake kutoka Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Zanzibar hadi kuja kuwa kinara mkuu wa Upinzani Zanzibar kupitia ACT lipo la kujifunza

Yani.1) RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

2) Profesa Mussa Juma Hassad

2) Othman Masoud

wote kutokea visiwani Zanzibar Ujasiri wao utabaki vizazi kwa Vizazi Tanzania

leo kwangu ww kujiona Mtanganyika na kumbe wewe moyoni ni Dhaifu sana kushindwa na jamii ya watu wa visiwani Zanzibar kutetea misingi ya haki na Kisheria💪.

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN maelezo yangu yametoa somo sehemu kuu 2 moja linapokuja jambo kubwa la utu wa kibinadamu kasimama imara tumeona Safari yake ya kwenda Nairobi lkn pia Rais Samia Suluhu Hassan kaapa kwa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kulinda katiba manake Sheria zetu za Jamhuri Lisu kataka malipo yalionje ya Mfumo wa Kisheria za Jamhuri Rais Samia Suluhu Hassan kanyooka kama rula !!!

Lisu alilipwa tu Stahiki zake alizonyimwa kinyume cha Sheria

lkn Lisu akadhan Rais Samia ni Dhaifu ivyo akamletea na madai yalio kinyume na Sheria zetu Rais wetu kagoma 💪

na hatokuja kulipwa hatakama Rais Samia atamaliza muda wake 2030 Sababu madai ya Lisu yapo kinyume na Sheria zetu. ✍️
 
Hawawezi kukubali ashinde kesi ya uhaini, kwasababu atarudi kwenye siasakwa nguvu sana.

Ili kumkata stim watataka awe ni muhaini ili asiruhusiwe kugombea urais kwa mujibu wa katiba yao.
 
Maellezo mengi kama gazeti ila pumba tupu,na ww unajiita msomi??
 
Back
Top Bottom