Kwa mtu anayejua spiritual realm utagundua kuwa hakuna kitu kinazaliwa pasipo uchungu. Kama ni Mkristo ukiona unapita kwenye moto na mateso ni sauti ya Mungu kukuambia omba ili niintervine. ndo maana alipoona kanisa haliombi aliamua na wao wapigwe au kuuawa ili kuwalazimisha waombe maana MUNGU anataka kufanya jambo lakini anaona hawaombi so analazimisha. hata hili la LISSU MUNGU analeta haya ili watu wamwombee zaidi na kuliombea Taifa, maana yanayoendelea kwake ni picha ya yanayoendelea kwa watanzania wote wa kawaida, hakuna wakati amboa watu wanaombea Tanzania kama kipindi hiki. Mungu atatokea kwa ghafla ni kuiokoa Tanzania