GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa utetezi wa Lissu sidhani kama Hakimu atazuia kurushwa live kwa kesi hii. Mbona mashahidi kwenye kesi ya Mbowe hawakufichwa?
 
M
Mungu ametuumba kwasababu maalum wengine wanaishi maisha marefu wangine mafupi wengine maisha ya raha wengine ya taabu hata wale wanao umiza wenzao wanatangulia wenyewe kumbe tutende haki kwa maana kuna Karma mbele yetu
Asa mbona mnanchukia rais alierudisha democracy na kuwatoa wahuni wote waliokua kwenye genge la magu?
Saiv pole pole mnamuona mzalendo akat nae alikua kwenye hilo genge
Ndio maana nasema nyie hamna jema.
Heri magu alivokua anawanyoosha maana hamjielewi
 
Dharau ya hali ya juu, matangazo ya moja kwa moja ya mahakamani inawekwa song la kumsifu samia na utegemee haki itendeke.
Ndio rais wa tz ulitaka nyimbo za kumsifu kagame au?
 
Mungu hafanyi kazi Kwa mihemkoo anajua siri msizozijua
Ni kweli hafanyi kwa mihemko na ndio maana waliotaka afe wote wameanza kufa na yeye bado anaishi. Ingekuwa anafanya kwa mihemko kama ulivyojibu wewe asingekuwa Mungu.
 
Akome kabisa alishangilia kifo cha Magufuli akidhani atakula raha.
Alafu akapewa uhuru akarudi nchini
Malipo yake akaanza kumtukana na rais aliempa uhuru
Hta mm ningekua samia huyu nisingemuacha
 
Ni kweli hafanyi kwa mihemko na ndio maana waliotaka afe wote wameanza na yeye bado anaishi. Ingekuwa anafanya kwa mihemko kama ulivyojibu wewe asingekuwa Mungu.
Kweli kabisa
 
M

Asa mbona mnanchukia rais alierudisha democracy na kuwatoa wahuni wote waliokua kwenye genge la magu?
Saiv pole pole mnamuona mzalendo akat nae alikua kwenye hilo genge
Ndio maana nasema nyie hamna jema.
Heri magu alivokua anawanyoosha maana hamjielewi
Unajaua maana ya demokrasia?
 
Huyo wakili wa serikali aliyakiwa assisting kwa raha ili mwungine akija akatae kutumika.
 
Back
Top Bottom