Magufuli harudi tena hata ufanyaje hazikusaidii kituAkome kabisa alishangilia kifo cha Magufuli akidhani atakula raha.
serikali inataka kesi isioneshwe live wakati wa kusoma committal.Updates?
Nashangaa sana kesi ya uhaini ila mashahidi ni raia hakuna wanajeshi wala TISS.Wakili wa serikali anataka Mahakama isitishe kurusha live mchakato wa kesi
Hicho ndicho nachojiuliza hata mimi mwenyeweNachojiuliza mimi
Ikiwa kwa maelezo ya Wakili wa serikali wameiomba Mahakama kuficha mashahidi kwa kile walichokiita "kumlinda shahidi dhidi ya vitisho" kuhofia mashahidi kudhuliwa.
Je Mawakili wa serikali ambao wakifanya blundering hawajioni kuwa sehemu ya hao wahanga?
Mbona wao wako huru na wanajitambulisha kwa majina yao, japokuwa raia wengi wanatambua kuwa wanatoa mashtaka ya uongo?
Kwanini wao wajione wako safely?
Kungekuwa kuna betting kwenye Mahakama, ilikuwa ni rahisi sana mimi kujua maamuzi ya Hakimu kwenye mapingamizi ya Lissu.Lissu anatoa hoja za kupinga kusomwa kwa committal kwa siri
Wakili hajapokea vitisho vyovyote mpaka muda huu, licha ya kwamba amekuwa mkandamizaji sana na mchochezi wa kumbambikia kesi Lissu.Hicho ndicho nachojiuliza hata mimi mwenyewe
Ila kwa Amri ya mahakama kuu, inaonekana itakuwa ngumu kwa Hakimu mkazi kupiga chini mapingamizi ya Lissu.Kungekuwa kuna betting kwenye Mahakama, ilikuwa ni rahisi sana mimi kujua maamuzi ya Hakimu kwenye mapingamizi ya Lissu.
Yani hata Hakimu mwenyewe hajasumbuliwa sembuse huyo shahidi.Wakili hajapokea vitisho vyovyote mpaka muda huu, licha ya kwamba amekuwa mkandamizaji sana na mchochezi wa kumbambikia kesi Lissu.
Halafu eti mashahidi ndio wawe kwenye risk kiasi waiombe Mahakama iwafiche. How?