GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakili wa serikali ni kama hataki kesi iwe Live streaming anazunguka tu kwenye neno publication
 
Ila kwa Amri ya mahakama kuu, inaonekana itakuwa ngumu kwa Hakimu mkazi kupiga chini mapingamizi ya Lissu.
Ah wapi, kwa mfufulizo wa maamuzi ya hakimu huyu ambaye hana rekodi ya kupinga hoja za upande wa mashtaka. Sioni hilo likiwezekana
 
Akome kabisa alishangilia kifo cha Magufuli akidhani atakula raha.
Pole pole hajasema nani alishangilia,kasema taxi dereva alikuwa anatumwa kila mara kupeleka bahasha za majina yaliyowekewa code,na taarifa za kumuua alipompelekea aliagiza zipelekwe kwa mlinzi wake.
 
Kwamba Wakili wa serikali alikuwa anazuia Lisuu asipewe nyaraka kutoka kwa mawakili wake?
 
Tunaomba mahakama imtendee Lissu haki kwa namna alivyokua anaongea asipohukumiwa kunyongwa itakua hawajamtendea haki, kitendo cha kutishia kukinukisha kilisababisha nipate hofu na niwe na mashaka na maisha yangu, mtu huyu akirudi uraiani itasababisha wananchi tusio na hatia tuishi bila amani
 
inatakiwa aanze na wewe akirudi uraiani maana una hofu na uoga usiokuwepo
 
Umemkaba kisawasawa maana jaji hakuishia kwenye neno la PUBLICATION, ya mbele katunga hataki kuyasema

Not A blanket ban on publication, but publication itakayo identify mashahidi
 
Alipewa uhuru na nani?
Mkuu hpo unataka ubishani usio na msingi.magu alifungia mpk mikutano hakuna
Lisu na wengine wengi walikimbia nchi
Alipoingia Samia c vyote aliweka sawa
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Hakimu asikubali kuburutwa na Wakili wa serikali. Mahamaka Kuu imeweka vigezo vya nini kisitangazwe
 
Back
Top Bottom