zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,946
- 6,664
Kma huyajui hayo mambo me cko kukupa elimu hioNaomba uweke Hapa ushahidi akitishia Amani ya nchi au weka hapa akitetea ushoga .
Suala la kutishia amani ya nchi wakili msomi atakifikisha mahakamani 😆
Kma huyajui hayo mambo me cko kukupa elimu hioNaomba uweke Hapa ushahidi akitishia Amani ya nchi au weka hapa akitetea ushoga .
Kma huyajui hayo mambo me cko kukupa elimu hio
Suala la kutishia amani ya nchi wakili msomi atakifikisha mahakamani 😆
Kangaroo Courts.
Wanapoteza muda wao kwa kuziamini na kuhangaika na Mahakama za Nchi hii. Mahakama zetu tayari zilishapoteza dira na mwelekeo tangu miaka mingi iliyopita.
Hukumu za HAKI kamwe hazitaweza kupatikana kwa kupitia kwenye Mahakama hizi. Maamuzi ya Haki na Usawa katika Nchi hii kwa sasa ni lazima yapatikane nje ya Mahakama.
Shujaa na Hayati Hamza Mohammed wa tukio la pale Sealander Bridge Dsm kamwe hakuwahi kuugua kichaa.
Kwahiyo yule mjinga wa siku zote hajapewa kipaza ??Jamhuri
Mahakama ya haki.Kwa hio apelekwe mahakama gani?
Ya kenya au uganda
Kwahiyo hiyo serikali yako ya CCM ni lini iliwahi kukataa ushoga hapa nchini km sio haki ya raia wao walioamua kuwa hivyo?Mchamungu 😆😆angetishia amani ya taifa
Mchamungu angetetea haki za ushoga
Mchamungu angeleta maneno ya hovyoo
Nyie watu mkoje
Mbowe toka ashindwe kwa kura kwenye uchaguzi wa chadema amegeuka na kuwa Alishababu, Alikaida gaidi wa ndani ya chadema na Dalali wa Siasa kuuza G55 ya Akina Salam mwalimu huko ccm na wao kuwaisokomeza Chauma ubwabwa chama mchepukaji wa ccmHuyo mbowe ni wenu wana chadema mmemlea wenyewe na kakilea chama chenu
Mlikua mko nae kwa kila jambo hata alipovunjika mkono kisa konyagi bdo mlikua mko nae saiv mna muona taka taka 😃
Ndio huyo Katuga anayechelewesha muda. Baadala ya kutekeleza maagizo ya Mahakama Kuu analeta maombi mapya na mabishano.Kwahiyo yule mjinga wa siku zote hajapewa kipaza ??
Tanganyika idai uhuru toka kwa mkoloni ZanzibarIdd Amini anazidi Kuaibika......
Wee ni kilaza, weka hapa huyo ushahidi lissu akitetea ushoga/mashoga, na mie nikuwekee official statement za viongoz wakuu wa nchi juu ya masuala ya utetezi wa ushoga/MashogaKma huyajui hayo mambo me cko kukupa elimu hio
Suala la kutishia amani ya nchi wakili msomi atakifikisha mahakamani 😆
Wanatoka bila bilaSiasa ni sayansi 😂
Dawa yao ni kuwashitaki mahakama ya uhalifu ya ICC The Hague ndipo watazinduka waache kuwaonea chademaNdio huyo Katuga anayechelewesha muda. Baadala ya kutekeleza maagizo ya Mahakama Kuu analeta maombi mapya na mabishano.
Kuanzia utawala wa kikwete hili jambo walipinga vikali na tukatishiwa kutopewa misaadaKwahiyo hiyo serikali yako ya CCM ni lini iliwahi kukataa ushoga hapa nchini km sio haki ya raia wao walioamua kuwa hivyo?
Nijibu hapaa, ili nikukande vizuri na huyo uongo wako.