GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akome kabisa alishangilia kifo cha Magufuli akidhani atakula raha.
Hata Magufuli aliyempiga risasi na akazuia uchunguzi usifanyike (najua utauliza una ushahidi? Kichwa kama papai) na Ndugai aliyemnyima stahiki za matibabu na kumfukuza bungeni Kwa kusema hajui alipo, wakati aliahidi kuhakikisha anapata matibabu na Kwa confession ya mama tibaijuka, ni kuwa maagizo yalitokq Kwa jiwe! Hao wote niliowataja na mkuu wa Utumishi wa umma wa wakati huo wote wako kwenye ardhi wanaliwa na mchwa!
The legend is still living!
 
Hawakuwa na namna ya kujibu hoja za Lissu ikaonekana njia rahisi ni kumfungulia kesi ya uhaini ambayo haina dhamana ili aendelee kupigwa dana dana mahakamani akiwa nje ya siasa hadi uchaguzi upite.
Mungu ana makusudi na Lissu watafanya hila zote ila ukuu wa Mungu utadhihirika. Kumbuka mapito waliyompitisha haikuwa rahisi
 
Mungu ametuumba kwasababu maalum wengine wanaishi maisha marefu wangine mafupi wengine maisha ya raha wengine ya taabu hata wale wanao umiza wenzao wanatangulia wenyewe kumbe tutende haki kwa maana kuna Karma mbele yetu
 
Eeeh kumekucha sasa
 
Akome kabisa alishangilia kifo cha Magufuli akidhani atakula raha.
Wasukuma baadhi yenu mna ujinga sana,hayo yote ameanzisha msukuma mwenzenu.
Hii nchi mara 💯 tuongozwe na SAMIA milele kuliko kuongozwa na wasukuma.Nyerere alikuwa sahihi sana.

Matatizo ya hii nchi yamenza zaidi pale Kikwete alipo kwenda against Nyerere na kuamua kumchagua Magufuli kuwa Rais
 
Dharau ya hali ya juu, matangazo ya moja kwa moja ya mahakamani inawekwa song la kumsifu samia na utegemee haki itendeke.
Wanafanya vitu vya kutia hasira kweli kweli.
 
Watapukutika wote watamwacha Lissu anakula maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…