GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
dalili nzuri tutashinda
 

Hawa Wazanzibar wamejipanga kuhakikisha kuwa Lissu hatiboi.
 
Free Tundu Lissu, Free Him
 
Vikao na drama za ccm huwa vinapoteza mvuto na muelekeo kila kesi ya lisu inapokuwa mahakamani.
 
Hamna kitu CHADEMA wanajutia kama kutoshirikiana na Magufuli kuijenga hii nchi Magufuli alifungua mlango wa kushirikiana na wapinzani ndio hapo neno la maendeleo hayana chama lilipozaliwa.
Uongo na ni upuuzi huo. Jiwe aliuchukia upinzani sababu uchaguzi wa 2015 kila mtu anajua ushindi ulikuwa ni kwa Lowassa na hiyo ni sababu ya kuuchukia upinzani na kujiribu kuunyamazisha lakini alishindwa kama alivyoshindwa Samia. Kuhusu kushirikiana hiyo sio kazi ya upinzani. Kazi ya upinzani ni kupinga tu sio kushirikiana na chama tawala.
 
Hamna kitu CHADEMA wanajutia kama kutoshirikiana na Magufuli kuijenga hii nchi Magufuli alifungua mlango wa kushirikiana na wapinzani ndio hapo neno la maendeleo hayana chama lilipozaliwa.
Unajidanganya....chadema walimzuia vipi kufanya kazi kwani Chadema hawamiliki hata ofisi moja ya kijiji.acheni visingizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…