Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

Sidhani hata kama walikua wanafika mbali maana sijawahi kusikia mtumishi kaitwa mahakamani na PF3 tumejaza sana.

Kuna siku waliletwa watoto 13 wakiwa wamelawitiwa na dereva wa shule yao.
Aisee inaumiza sana
 
Vinyofolewe tu tuone kama watatumia vidole
 
Aisee inaumiza sana
Nadhani unywaji wa pombe hasa usiokua na mpangilio unachangia.

Ilitokea tukio moja mdada akiwa na bwana wake wapo kwenye mahusiano muda mrefu,siku hiyo wakaenda kupiga vyombo wote wakalewa basi mwamba akamchukua manzi yake wakasepa kufika sehemu akawaita na wenzake wakamchangia kupiga nae mzigo walikua vijana zaidi ya watano manzi alipogona alikula ngumi na mateke kaja uso unevimba yaani aibu mzee. Jamaa anasema pombe anaomba radhi ikajazwa PF3 lakini sijui kilichoendelea.
 
Dah visasi🙌 sema sheria imekaa kizembe sana. Na wao wasipofanyiwa ukatili watasafiria nyota ya sheria legevu. Nakwambia watundikwe uwanjani wachapwe viboko na vichupi tu hii hali imekua to much
 
Wakati nipo Mbeya pale Igawilo ndo nilijua ukubwa wa hii ishu ajabu mbeya siisikii kwenye rekodi.

Pale kila siku lazima ije kesi ya ubakaji au ulawiti.
Hazionekani kwasbb hazitangazwi, watu wanayamaliza kimya kimya lkn zile sehem ambazo hayafumbiw mach hua yanatangazw
 
Sasa kufika mahakamani hakuondoi tatizo. Kaka kuna watu wanakutwa red handed kabisa na hawafanywi chochote. Kuna kesi iliwahi kutokea kimara mbakaji alikua ana ndugu yake kwenye chombo cha usalama. Kila wakimpelekea kituoni jioni asubuhi ameachiwa na anarudi kuwatambia wale wa familia ya victim kwamba hawana cha kumfanya hawezi kulala jela na matukio yanaendelea sasa unategemea mashahidi watasemaje wakati usalama wao uko matatani?
 
Mi naelewa, cha umuhimu abiria tunza mzigo wako!. Tu!.
 
Watoto wanapita wakiwa ndani ya school bus ,wanaimbaaa
Nasikiaaa nyg
Nasikiaaa nyg
Nasikia nyg

Ova
Mi kuna mtoto wa jirani ana tabia za ajabu tumeshamkanya sana mtaani hasikii, ana tabia za ajabu kweli kweli na wazazi wake ni wachawi sijui waganga kwahiyo hata akifanya kosa anakimbilia kwao na anajua huwezi mfanya kitu. yani kuna siku alijichanganya nilikuwa nyumbani siku hiyo akafanya ujinga tena alikua ana mtoto mwenzake, nilitoka nikawakwida na mkono mmoja nikawanasa makofi na mkono mwengine walikuja kuokolewa na kaka yao. Naona na baba yao anawakingia kifua. Ndo maana sipendi vitoto vinavyozurulaga mtaani havina kabisa maadili. Yani kama isingekua Mr kuniambia niache kuvibutua nahisi tungefikishana mbali. Yani ni wale watoto watukutu waliopitiliza. Nimesubiri wazazi wake waniroge naona wapo kimya. Asiefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.

Nilichojifunza tu sitagusa tena mtoto wa mtu maana hawachelewi kukufia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…