Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
- Thread starter
- #41
Na wanazurula wapo hai wanapumua kama kawaidaUraiani huku wamejaaa mapedophile kibao mzee
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanazurula wapo hai wanapumua kama kawaidaUraiani huku wamejaaa mapedophile kibao mzee
Ova
Lakini ukiachana na watukutu,kesi nyingi zinaonyesha wanafanyiwa unyanyasaji na watu wakalibu nafikili ni kwasababu mda mwingi wanashinda nao.Mi kuna mtoto wa jirani ana tabia za ajabu tumeshamkanya sana mtaani hasikii, ana tabia za ajabu kweli kweli na wazazi wake ni wachawi sijui waganga kwahiyo hata akifanya kosa anakimbilia kwao na anajua huwezi mfanya kitu. yani kuna siku alijichanganya nilikuwa nyumbani siku hiyo akafanya ujinga tena alikua ana mtoto mwenzake, nilitoka nikawakwida na mkono mmoja nikawanasa makofi na mkono mwengine walikuja kuokolewa na kaka yao. Naona na baba yao anawakingia kifua. Ndo maana sipendi vitoto vinavyozurulaga mtaani havina kabisa maadili. Yani kama isingekua Mr kuniambia niache kuvibutua nahisi tungefikishana mbali. Yani ni wale watoto watukutu waliopitiliza.
Nilichojifunza tu sitagusa tena mtoto wa mtu maana hawachelewi kukufia
Watoto wanazurula mitaani utakuta wanacheza nje mpakaMi kuna mtoto wa jirani ana tabia za ajabu tumeshamkanya sana mtaani hasikii, ana tabia za ajabu kweli kweli na wazazi wake ni wachawi sijui waganga kwahiyo hata akifanya kosa anakimbilia kwao na anajua huwezi mfanya kitu. yani kuna siku alijichanganya nilikuwa nyumbani siku hiyo akafanya ujinga tena alikua ana mtoto mwenzake, nilitoka nikawakwida na mkono mmoja nikawanasa makofi na mkono mwengine walikuja kuokolewa na kaka yao. Naona na baba yao anawakingia kifua. Ndo maana sipendi vitoto vinavyozurulaga mtaani havina kabisa maadili. Yani kama isingekua Mr kuniambia niache kuvibutua nahisi tungefikishana mbali. Yani ni wale watoto watukutu waliopitiliza.
Nilichojifunza tu sitagusa tena mtoto wa mtu maana hawachelewi kukufia
Enhee sasa hao watu wa karibu ndo kizazi kama hiki kinachoanza utukutu mapema na wazazi wao hawafanyi chochote. Sasa mfano huyu mtoto akija kukua unadhani wenzake anaocheza nao mtaani watakuwaje? Lazima atawafanyia ujinga. Sishangai tena kizazi hiki kila mzazi kufungia mtoto wake nyumbani muwekee michezo yote amalize nyumbani mtaani kumeharibika wanafundishana hata wenyewe kwa wenyewe. Unasema watoto wangu wameenda for sleepover kumbe wamegeuzana mke na mume sitaki huo ujinga sleep over ndo ujinga gani kila mtu afe na mwanae.Lakini ukiachana na watukutu,kesi nyingi zinaonyesha wanafanyiwa unyanyasaji na watu wakalibu nafikili ni kwasababu mda mwingi wanashinda nao.
Kwa kiasi nakubaliana na wewe hasa hili la ushirikina. Lakini tungekuwa na viongozi wenye nia ya kuongoza hili ni tatizo ambalo linaweza kudhibitiwa. Ilivyo sasa hivi ni kama viongozi wanaachia mambo yafanyike bila kujali. Rais ndiye kabisaa, huwezi kujua ni rais mwanamke kwa sababu katika marais wote waliopita, hivi vitendo vimeshamiri zaidi kwenye hii awamu yake na yeye yuko kimya kama haoni.
Utakuta mtoto anajiita zuchuEnhee sasa hao watu wa karibu ndo kizazi kama hiki kinachoanza utukutu mapema na wazazi wao hawafanyi chochote. Sasa mfano huyu mtoto akija kukua unadhani wenzake anaocheza nao mtaani watakuwaje? Lazima atawafanyia ujinga. Sishangai tena kizazi hiki kila mzazi kufungia mtoto wake nyumbani muwekee michezo yote amalize nyumbani mtaani kumeharibika wanafundishana hata wenyewe kwa wenyewe. Unasema watoto wangu wameenda for sleepover kumbe wamegeuza mke na mume sitaki huo ujinga sleep over ndo ujinga gani kila mtu afe na mwanae.
Nakwambia mimi nilimuotea mmoja hadi leo hachezi kabisa karibu na nyumbani kwangu. Wanamuonaga Mr ndo mpole mimi nikipita wanajificha yani unakuta viko mtaani hadi saa tatu usiku vinazurula kama panya na vinaongea maneno machafu wenyewe kwa wenyewe. Nlishasema mtoto wangu wa kiume ntapambana nae humu nyumbani nikitoka kazini naanza kucheza nae kama na mimi ni mtoto nataka anizoee hadi asinifiche siri zozote. Kijana wa kazi analala nje sitaki kujaribiana na shetani. Sitaki mazoea kabisa. Mengine nimemuachia Mungu nimejaribu ku play part yanguWatoto wanazurula mitaani utakuta wanacheza nje mpaka
Saa usiiku au nne wapo tu
Mama yuko kwenye kigodoro au baikoko
Baba yuko sehemu anagonga smartgene sasa kwa style hiyo unategemea mtoto atakuwaje
Kingine serikali ingewafikiria maeneo ya wazi watoto kucheza
Maeneo mengi ya wazi yameuzwa au kupewa watu wafanye biashara,watoto hawana mahali pa kwenda zaidi ya kubanana mitaani na vichorocchoroni wakicheza na huko ndiko wanakutana na mabalaaaa
Ova
Unaona sasa huu ujingaUtakuta mtoto anajiita zuchu
Anakatika unoo balaaa, hapo
Mapedophile lazima watapita naye
Ova
Mashirika yenye ufadhili mkubwa yako kazini kueneza ushoga kwa nguvu na serikali yako inajua na imeridhika hata usiumize kichwa kwa hilo hayo mambo siyo bahati mbaya wala tusilaumu watu wetu tuilaumu serikaliHabari wadau.
Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?
Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma!!
Jamii inawajua hawa walawiti na inawakingia kifua?
Je? Ni sheria zimelega sana ndo maana watu wanafanya wakijua sheria ina lacuna?
LHRC, mbona juhudi zenu zipo kwenye reaction za wananchi tu? Yani huwa mnasubiri msikie mwanaume mmoja alilawiti mtoto wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto au msikie walawiti wameanza kukatwa jinsia zao au hadi msikie wamepangwa mlimani wanafyatuliwa shaba kichwani ndo huwa mnaibuka na kukemea wanachokua wamefanyiwa.
Inaumiza sana na haya matukio. Yani watoto ndo inauma sana. Kila siku unasikia jipya,
Je nguvu ni ile kauli ya kwamba “mwanaume ndo alivyoumbwa hawezi kujicontrol hisia? “ kwahiyo ndo ulawiti mtoto?
Sheria gani kali iundwe ili iwe fundisho la mfano. Mnaharibu kizazi chetu.
Sasa mtoto ubongo wake umejaa masingeli na maapianoNakwambia mimi nilimuotea mmoja hadi leo hachezi kabisa karibu na nyumbani kwangu. Wanamuonaga Mr ndo mpole mimi nikipita wanajificha yani unakuta viko mtaani hadi saa tatu usiku vinazurula kama panya na vinaongea maneno machafu wenyewe kwa wenyewe. Nlishasema mtoto wangu kiume ntapambana nae humu nyumbani nikitoka kazini naanza kucheza nae kama na mimi ni mtoto nataka anizoee hadi asinifiche siri zozote. Kijana wa kazi analala nje sitaki kujaribiana na shetani. Sitaki mazoea kabisa. Mengine nimemuachia Mungu nimejaribu ku play part yangu
Hivi hayo mashirika ndiyo wanayafadhili visherehe vya baikoko mitaaniMashirika yenye ufadhili mkubwa yako kazini kueneza ushoga kwa nguvu na serikali yako inajua na imeridhika hata usiumize kichwa kwa hilo hayo mambo siyo bahati mbaya wala tusilaumu watu wetu tuilaumu serikali
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mtoto arudi kuwa wa jamii kama mama zao wameshindwa kuwakanya watuachieSasa mtoto ubongo wake umejaa masingeli na maapiano
Kutwa anatuzama tamthiliya zile
Huyo mtoto unafikiri atakuwaje
Ova
Basi wananchi tuachiwe sebene hiloMashirika yenye ufadhili mkubwa yako kazini kueneza ushoga kwa nguvu na serikali yako inajua na imeridhika hata usiumize kichwa kwa hilo hayo mambo siyo bahati mbaya wala tusilaumu watu wetu tuilaumu serikali
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ndiyo na siyo tu hizo baikoko hata mpaka waalimu wanawezeshwa kuwaharibu watotoHivi hayo mashirika ndiyo wanayafadhili visherehe vya baikoko mitaani
Ova
eeh, aisee hii ilikuwaje?Kwa macho yangu niliona chizi akipigwa mashine na wanaume 2 wenye akiri timamu
Kuna jilanani apa matusi mpaka nasisimkaga.Ipumzisheni serikali...kama wamasai wanavosema "charity begin at home" bas inabidi tukubaliane kuwa malezi Bora huanzia ngazi ya familia
Mzazi anapokosa star ya mdomo kwa kumuita/kuwaita wanae manina kama mku*,msen ku**na majina kibao yaso na stara unategemea nini?? Ko serikali iwafundishe wazazi walk enda leba wenyewe namna ya kuishi na watoto..kheeee..
Badae anakuja kuilalamikia serikali!!!! What the hell!!!Kuna jilanani apa matusi mpaka nasisimkaga.
Kabisa ngazi ya malezi inaanzia kwenye ngazi za family.Badae anakuja kuilalamikia serikali!!!! What the hell!!!