Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Ilikuwa machimboni Nje kidogo na bar natoka kwengo kambi wajuba nikawaona wanapeeleka moto sikuwa na namna maana machimboni sio poa. Usalama wako kwanzaeeh, aisee hii ilikuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa machimboni Nje kidogo na bar natoka kwengo kambi wajuba nikawaona wanapeeleka moto sikuwa na namna maana machimboni sio poa. Usalama wako kwanzaeeh, aisee hii ilikuwaje?
Kuna uhuru ambao mwanaume ameupoteza ndio maana hayoyote yana tokea hakuna kinacho weza kusaidia hata sheria iwe ya namna ganiMbona wao ndo wanaongoza kwa asilimia kubwa sasa haki sawa inasaidiaje kuondoa tatizo la ulawiti
Sasa apo mbona siyosuluhisho ni kuendekeza upuuzi ambao tunapingana nao.Na hii ya kunyongwa kuna mijitu na akili yao itakuja kukataa hapa....
Tz hi kuna watu poor brain kabisa 😂 😂
Mtu kama huyo ni kunyongwa ila kabla ya hapo apewe adhabu kali hadi amtaje mganga aliyempa mashart kama hayo..
Then wachukuliwe kwanza wapigane miti wao kwa wao...
Wapigwe pasi za matrakooo
Alafu ndo wanyongwe...
Yaani kwenye kitengo cha kutocha watu naomba wanikodi maana nina njia 105 za kutocha mtu mpaka akasema ila kitu
Mkuu suruhisho nini elimu au...Sasa apo mbona siyosuluhisho ni kuendekeza upuuzi ambao tunapingana nao.
Kukata mkinoMkuu suruhisho nini elimu au...
Upuuzi gani tunapingana nao....
Kuna mambo mengine mnachukulia simple ila ndo solution zenyewe..
Mfano
Hivi kukata mwizi mkonono na
Kumchoma moto ipi ni solution ya kumaliza wezi mtaani
Sasa hi ya kukata mkono wameikataa..Ku
Kukata mkino
Huu ni ugaidi kama ukimchoma moto au kumkata mkono umekumbuka kwamba wanamtegemea? Au ujui mwizi analisha tumbo na family yake maanake anao waacha nao wataiba kwa kukosa basic needs!.Mkuu suruhisho nini elimu au...
Upuuzi gani tunapingana nao....
Kuna mambo mengine mnachukulia simple ila ndo solution zenyewe..
Mfano
Hivi kukata mwizi mkonono na
Kumchoma moto ipi ni solution ya kumaliza wezi mtaani
Hatuna ya kwanza na muhimu ni kufanya Hilo kosa lisiwe na dhamana
YesuSidhani hata kama walikua wanafika mbali maana sijawahi kusikia mtumishi kaitwa mahakamani na PF3 tumejaza sana.
Kuna siku waliletwa watoto 13 wakiwa wamelawitiwa na dereva wa shule yao.
Sasa mtu kama huyu tukitaka kumfanyizia na yeye..Yesu
Human right!.👈👈👈.Sasa mtu kama huyu tukitaka kumfanyizia na yeye..
Kuna watu watapinga ety ""hujui huyo dereva ana familia inamtegemea """
😁😁😁🚬Imagine tuu akili zetu hizi
Sasa mtu kama huyu tukitaka kumfanyizia na yeye..
Kuna watu watapinga ety ""hujui huyo dereva ana familia inamtegemea """
😁😁😁🚬Imagine tuu akili zetu hizi
Wakristo wameruhusiwa kabisa na kiongozi wao mkuu,kuwa waphilane na waozeshwe ni haki yao ya msingi, according to PapaNa ni vizuri pia tukiangalia haya matukio hapa nchini yanafanywa na wenye imani gani kwa takwimu?
Maana kuna imani zingine zimebarikiwa kufanya huu uchafu na makuhani wao
Naona polisi wapanue goli watu tumalizane nao mtaani tu kama weziHabari wadau.
Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?
Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma!!
Jamii inawajua hawa walawiti na inawakingia kifua?
Je? Ni sheria zimelega sana ndo maana watu wanafanya wakijua sheria ina lacuna?
LHRC, mbona juhudi zenu zipo kwenye reaction za wananchi tu? Yani huwa mnasubiri msikie mwanaume mmoja alilawiti mtoto wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto au msikie walawiti wameanza kukatwa jinsia zao au hadi msikie wamepangwa mlimani wanafyatuliwa shaba kichwani ndo huwa mnaibuka na kukemea wanachokua wamefanyiwa.
Inaumiza sana na haya matukio. Yani watoto ndo inauma sana. Kila siku unasikia jipya,
Je nguvu ni ile kauli ya kwamba “mwanaume ndo alivyoumbwa hawezi kujicontrol hisia? “ kwahiyo ndo ulawiti mtoto?
Sheria gani kali iundwe ili iwe fundisho la mfano. Mnaharibu kizazi chetu.
Wasiibuke shirikia lao tu kutetea. WatuacheNaona polisi wapanue goli watu tumalizane nao mtaani tu kama wezi
Kwa ambao wameshaharibikiwa tayari na wanaharibu wenzao tuwafanyajeIpumzisheni serikali...kama wamasai wanavosema "charity begin at home" bas inabidi tukubaliane kuwa malezi Bora huanzia ngazi ya familia
Mzazi anapokosa star ya mdomo kwa kumuita/kuwaita wanae manina kama mku*,msen ku**na majina kibao yaso na stara unategemea nini?? Ko serikali iwafundishe wazazi walk enda leba wenyewe namna ya kuishi na watoto..kheeee..
Wasaidiwe kwa namna nyingine bwana. Bora saizi ziwepo sindano za kupunguza nguvu maana wengine wanazi mis useHili tatizo liangaliwe kwa mapana zaidi,kuna ugonjwa unaitwa pedophilic disorder,mtu mzima anakuwa sexually attracted na vitoto (not neccessary mtu mwenye pedophilia lazima abake watoto).serkali ianze kampeni ya kuwasaidia pia watu wenye ili tatizo kimatibabu na kiushauri,imani za kishirikina (wadeal na waganga),adhabu iwe kali na wakosaji watangazwe sana kama tunavyotangazaga vitu vya kijingajinga kama matamasha ya mziki.