Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

Na hii ya kunyongwa kuna mijitu na akili yao itakuja kukataa hapa....

Tz hi kuna watu poor brain kabisa 😂 😂
Mtu kama huyo ni kunyongwa ila kabla ya hapo apewe adhabu kali hadi amtaje mganga aliyempa mashart kama hayo..

Then wachukuliwe kwanza wapigane miti wao kwa wao...
Wapigwe pasi za matrakooo
Alafu ndo wanyongwe...

Yaani kwenye kitengo cha kutocha watu naomba wanikodi maana nina njia 105 za kutocha mtu mpaka akasema ila kitu
Watundikwe tu viboko pale uwanja wa taifa huku kamba zinawasubiri. Yani anakufa baada ya mateso. Pakwa pilipili ya kutosha mwilini, charazwa viboko ili iwe mfano. Adhabu hiyo itawafaa na wale under 18 wacharazwe na pilipili ila aliepitiliza 30 years viboko na kunyongwa. Nakwambia nchi itakaa sawa
 
Hatuna ya kwanza na muhimu ni kufanya Hilo kosa lisiwe na dhamana
Umefika kwenye point yangu sasa. Ichukuliwe kama armed robbery. Ile kifaa inayotumia kusokotoea si ni ‘arm’ kabisa ile. Hakuna dhamana hata kama una mjomba ni mkuu wa kituo
 
Watundikwe tu viboko pale uwanja wa taifa huku kamba zinawasubiri. Yani anakufa baada ya mateso. Pakwa pilipili ya kutosha mwilini, charazwa viboko ili iwe mfano. Adhabu hiyo itawafaa na wale under 18 wacharazwe na pilipili ila aliepitiliza 30 years viboko na kunyongwa. Nakwambia nchi itakaa sawa
Human right.
 
Adhabu ya kifo bado ni ndogo bila ya wao kupitia mateso makubwa sana.
Nimetoka kusema juu huko, wapakwe pilipili mwili mzima, watundikwe uwanjani pale, charaza kweli kweli huku ameanikwa juani, dozi inaanza saa moja asubuhi hadi jua la jioni linazama anashushwa na kamba shingoni biashara imeisha.

Tunayachukulia simple kwasababu wanaofanyiwa sio mdugu zetu si ndio
 
Human right.
Hii ndo human right unayoiongelea mkuu? You’re joking right?

Ume google😁😁🐸👈
You are the dumbest human being alive! Ama na wewe ni mmoja wa walawiti!!

How stupid than this can you get?

Instagram hii story imezagaa.
Na ku google kuna badilisha uhalisia? Wewe ni punguani nilidhani utakuja na hoja!
 
Watundikwe tu viboko pale uwanja wa taifa huku kamba zinawasubiri. Yani anakufa baada ya mateso. Pakwa pilipili ya kutosha mwilini, charazwa viboko ili iwe mfano. Adhabu hiyo itawafaa na wale under 18 wacharazwe na pilipili ila aliepitiliza 30 years viboko na kunyongwa. Nakwambia nchi itakaa sawa
Bado hapo kama unawapendelea hivi.. yaani viboko tuu hapana adhabu ziwe za kutosha ...
Choma choma sindano za kwenye kucha...
Kubanwa korodani na koleo mpaka akojoe figo
 
Afya ya akili chanzo kikuu, tuanze kuvifanyia kazi vyanzo ya kisababisha afya ya akili.

Kwa mfano yule jamaa aliyefikia hatua ya kubaka kuku imagine kungekuwa na katoto ka kike ama ka kiume kanatambaa hapo karibu.
 
Habari wadau.

Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?

Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma!!

Jamii inawajua hawa walawiti na inawakingia kifua?

Je? Ni sheria zimelega sana ndo maana watu wanafanya wakijua sheria ina lacuna?

LHRC, mbona juhudi zenu zipo kwenye reaction za wananchi tu? Yani huwa mnasubiri msikie mwanaume mmoja alilawiti mtoto wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto au msikie walawiti wameanza kukatwa jinsia zao au hadi msikie wamepangwa mlimani wanafyatuliwa shaba kichwani ndo huwa mnaibuka na kukemea wanachokua wamefanyiwa.

Inaumiza sana na haya matukio. Yani watoto ndo inauma sana. Kila siku unasikia jipya,

Je nguvu ni ile kauli ya kwamba “mwanaume ndo alivyoumbwa hawezi kujicontrol hisia? “ kwahiyo ndo ulawiti mtoto?

Sheria gani kali iundwe ili iwe fundisho la mfano. Mnaharibu kizazi chetu.
Watu wa haki za binadamu ni wanafiki namba moja.
Hili swala kwa sasa linaelekea kuota mizizi. Kwa sasa ukiwa na mwanao/wanao usimwamini mtu katika malezi anaweza haribiwa.
 
Chanzo ni wazazi wapo busy kutafuta pesa, watoto hawana uangalizi au wanaangaliwa na watu wasio na uchungu na watoto.hao, pia tendo la ndoa limekuwa zaidi ya biashara, mwanaume agharamie tendo kabla na baada ya tendo. Wanaamua kutafuta njia fupi kukata kiu ya mahitaji ya mwili
 
Habari wadau.

Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?

Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma!!

Jamii inawajua hawa walawiti na inawakingia kifua?

Je? Ni sheria zimelega sana ndo maana watu wanafanya wakijua sheria ina lacuna?

LHRC, mbona juhudi zenu zipo kwenye reaction za wananchi tu? Yani huwa mnasubiri msikie mwanaume mmoja alilawiti mtoto wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto au msikie walawiti wameanza kukatwa jinsia zao au hadi msikie wamepangwa mlimani wanafyatuliwa shaba kichwani ndo huwa mnaibuka na kukemea wanachokua wamefanyiwa.

Inaumiza sana na haya matukio. Yani watoto ndo inauma sana. Kila siku unasikia jipya,

Je nguvu ni ile kauli ya kwamba “mwanaume ndo alivyoumbwa hawezi kujicontrol hisia? “ kwahiyo ndo ulawiti mtoto?

Sheria gani kali iundwe ili iwe fundisho la mfano. Mnaharibu kizazi chetu.
Kitu Cha msingi Cha kufanya ili kukomesha hata matukio ni kumuadhibu kisheria mhalifu wa haya matukio
Serikali kupitia chombo husika Cha haki juu ya makosa haya kitoe adhabu Kali Kwa wahusika
Habari wadau.

Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?

Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma!!

Jamii inawajua hawa walawiti na inawakingia kifua?

Je? Ni sheria zimelega sana ndo maana watu wanafanya wakijua sheria ina lacuna?

LHRC, mbona juhudi zenu zipo kwenye reaction za wananchi tu? Yani huwa mnasubiri msikie mwanaume mmoja alilawiti mtoto wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto au msikie walawiti wameanza kukatwa jinsia zao au hadi msikie wamepangwa mlimani wanafyatuliwa shaba kichwani ndo huwa mnaibuka na kukemea wanachokua wamefanyiwa.

Inaumiza sana na haya matukio. Yani watoto ndo inauma sana. Kila siku unasikia jipya,

Je nguvu ni ile kauli ya kwamba “mwanaume ndo alivyoumbwa hawezi kujicontrol hisia? “ kwahiyo ndo ulawiti mtoto?

Sheria gani kali iundwe ili iwe fundisho la mfano. Mnaharibu kizazi chetu.
Muhimu kuzingatia sheria juu ya wahusika wa matukio haya
 
Pole sana. Wewe uko kama mimi. Hili limekuwa kamamoja ya sehemu za utamaduni wetu. Kuna sababu nyingi.
1. Watu kuzaa hovyo huku wakiwa hawana muda wa kuwalea watoto kwa sababu ya kukimbizana na maisha magumu.
2. Ndoa nyingi kuvunjika na kuacha watoto walio na single parents.
3. Kushamiri kwa imani potofu za ushirikina zinazoachiwa zienee kwa kasi kwenye social media na vyombo vya habari
4. Jamii kutokuchukuwa hatua mara wanapoona viashiria vya unyanyasaji wa watoto.
5. Serikali iliyoshindwa kila kitu na muda mwingi unatumika kwenye kulaghai wananchi kwa sababu haina majibu wala vision ya kuondoa matatizo
6. Jeshi la polisi mahakama vililojaa rushwa kuachia watuhumiwa wanapokamatwa
7. Rais wa nchi anayeachia mambo yajiendee yenyewe, asiye na ushawishi na anayedharaulika na walio chini yake (unakumbuka yule kijana wa Babati na ushahidi wa alichofanyiwa na mbunge lakini rais akamlinda?)
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom