Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

Lakini ukiachana na watukutu,kesi nyingi zinaonyesha wanafanyiwa unyanyasaji na watu wakalibu nafikili ni kwasababu mda mwingi wanashinda nao.
 
Watoto wanazurula mitaani utakuta wanacheza nje mpaka
Saa usiiku au nne wapo tu
Mama yuko kwenye kigodoro au baikoko
Baba yuko sehemu anagonga smartgene sasa kwa style hiyo unategemea mtoto atakuwaje

Kingine serikali ingewafikiria maeneo ya wazi watoto kucheza
Maeneo mengi ya wazi yameuzwa au kupewa watu wafanye biashara,watoto hawana mahali pa kwenda zaidi ya kubanana mitaani na vichorocchoroni wakicheza na huko ndiko wanakutana na mabalaaaa

Ova
 
Lakini ukiachana na watukutu,kesi nyingi zinaonyesha wanafanyiwa unyanyasaji na watu wakalibu nafikili ni kwasababu mda mwingi wanashinda nao.
Enhee sasa hao watu wa karibu ndo kizazi kama hiki kinachoanza utukutu mapema na wazazi wao hawafanyi chochote. Sasa mfano huyu mtoto akija kukua unadhani wenzake anaocheza nao mtaani watakuwaje? Lazima atawafanyia ujinga. Sishangai tena kizazi hiki kila mzazi kufungia mtoto wake nyumbani muwekee michezo yote amalize nyumbani mtaani kumeharibika wanafundishana hata wenyewe kwa wenyewe. Unasema watoto wangu wameenda for sleepover kumbe wamegeuzana mke na mume sitaki huo ujinga sleep over ndo ujinga gani kila mtu afe na mwanae.
 

Umezungumzia kutokujali, hili ni tatizo la viongozi kuanzia juu pale Magogoni mpaka chini, tuna tatizo la Viongozi kutojua nini sababu ya wao kuwa viongozi wa umma.
 
Utakuta mtoto anajiita zuchu
Anakatika unoo balaaa, hapo
Mapedophile lazima watapita naye

Ova
 
Nakwambia mimi nilimuotea mmoja hadi leo hachezi kabisa karibu na nyumbani kwangu. Wanamuonaga Mr ndo mpole mimi nikipita wanajificha yani unakuta viko mtaani hadi saa tatu usiku vinazurula kama panya na vinaongea maneno machafu wenyewe kwa wenyewe. Nlishasema mtoto wangu wa kiume ntapambana nae humu nyumbani nikitoka kazini naanza kucheza nae kama na mimi ni mtoto nataka anizoee hadi asinifiche siri zozote. Kijana wa kazi analala nje sitaki kujaribiana na shetani. Sitaki mazoea kabisa. Mengine nimemuachia Mungu nimejaribu ku play part yangu
 
Mashirika yenye ufadhili mkubwa yako kazini kueneza ushoga kwa nguvu na serikali yako inajua na imeridhika hata usiumize kichwa kwa hilo hayo mambo siyo bahati mbaya wala tusilaumu watu wetu tuilaumu serikali

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtoto ubongo wake umejaa masingeli na maapiano
Kutwa anatuzama tamthiliya zile
Huyo mtoto unafikiri atakuwaje

Ova
 
Hivi hayo mashirika ndiyo wanayafadhili visherehe vya baikoko mitaani

Ova
 
Sasa mtoto ubongo wake umejaa masingeli na maapiano
Kutwa anatuzama tamthiliya zile
Huyo mtoto unafikiri atakuwaje

Ova
Mtoto arudi kuwa wa jamii kama mama zao wameshindwa kuwakanya watuachie
 
Basi wananchi tuachiwe sebene hilo
 
Ipumzisheni serikali...kama wamasai wanavosema "charity begin at home" bas inabidi tukubaliane kuwa malezi Bora huanzia ngazi ya familia

Mzazi anapokosa star ya mdomo kwa kumuita/kuwaita wanae manina kama mku*,msen ku**na majina kibao yaso na stara unategemea nini?? Ko serikali iwafundishe wazazi walk enda leba wenyewe namna ya kuishi na watoto..kheeee..
 
Kuna jilanani apa matusi mpaka nasisimkaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…