Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

Na hii ya kunyongwa kuna mijitu na akili yao itakuja kukataa hapa....

Tz hi kuna watu poor brain kabisa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Mtu kama huyo ni kunyongwa ila kabla ya hapo apewe adhabu kali hadi amtaje mganga aliyempa mashart kama hayo..

Then wachukuliwe kwanza wapigane miti wao kwa wao...
Wapigwe pasi za matrakooo
Alafu ndo wanyongwe...

Yaani kwenye kitengo cha kutocha watu naomba wanikodi maana nina njia 105 za kutocha mtu mpaka akasema ila kitu
 
Mbona wao ndo wanaongoza kwa asilimia kubwa sasa haki sawa inasaidiaje kuondoa tatizo la ulawiti
Kuna uhuru ambao mwanaume ameupoteza ndio maana hayoyote yana tokea hakuna kinacho weza kusaidia hata sheria iwe ya namna gani
 
Sasa apo mbona siyosuluhisho ni kuendekeza upuuzi ambao tunapingana nao.
 
Sasa apo mbona siyosuluhisho ni kuendekeza upuuzi ambao tunapingana nao.
Mkuu suruhisho nini elimu au...
Upuuzi gani tunapingana nao....

Kuna mambo mengine mnachukulia simple ila ndo solution zenyewe..

Mfano
Hivi kukata mwizi mkonono na
Kumchoma moto ipi ni solution ya kumaliza wezi mtaani
 
Ku

Kukata mkino
 
Huu ni ugaidi kama ukimchoma moto au kumkata mkono umekumbuka kwamba wanamtegemea? Au ujui mwizi analisha tumbo na family yake maanake anao waacha nao wataiba kwa kukosa basic needs!.
 
Hatuna ya kwanza na muhimu ni kufanya Hilo kosa lisiwe na dhamana
 
Sasa mtu kama huyu tukitaka kumfanyizia na yeye..

Kuna watu watapinga ety ""hujui huyo dereva ana familia inamtegemea """

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐ŸšฌImagine tuu akili zetu hizi
 
Sasa mtu kama huyu tukitaka kumfanyizia na yeye..

Kuna watu watapinga ety ""hujui huyo dereva ana familia inamtegemea """

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐ŸšฌImagine tuu akili zetu hizi
Human right!.๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ.
 
Sasa mtu kama huyu tukitaka kumfanyizia na yeye..

Kuna watu watapinga ety ""hujui huyo dereva ana familia inamtegemea """

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐ŸšฌImagine tuu akili zetu hizi

Adhabu ya kifo bado ni ndogo bila ya wao kupitia mateso makubwa sana.
 
Na ni vizuri pia tukiangalia haya matukio hapa nchini yanafanywa na wenye imani gani kwa takwimu?
Maana kuna imani zingine zimebarikiwa kufanya huu uchafu na makuhani wao
Wakristo wameruhusiwa kabisa na kiongozi wao mkuu,kuwa waphilane na waozeshwe ni haki yao ya msingi, according to Papa
 
Naona polisi wapanue goli watu tumalizane nao mtaani tu kama wezi
 
Hili tatizo liangaliwe kwa mapana zaidi,kuna ugonjwa unaitwa pedophilic disorder,mtu mzima anakuwa sexually attracted na vitoto (not neccessary mtu mwenye pedophilia lazima abake watoto).serkali ianze kampeni ya kuwasaidia pia watu wenye ili tatizo kimatibabu na kiushauri,imani za kishirikina (wadeal na waganga),adhabu iwe kali na wakosaji watangazwe sana kama tunavyotangazaga vitu vya kijingajinga kama matamasha ya mziki.
 
Kwa ambao wameshaharibikiwa tayari na wanaharibu wenzao tuwafanyaje
 
Wasaidiwe kwa namna nyingine bwana. Bora saizi ziwepo sindano za kupunguza nguvu maana wengine wanazi mis use
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ