Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
- Thread starter
-
- #81
Watundikwe tu viboko pale uwanja wa taifa huku kamba zinawasubiri. Yani anakufa baada ya mateso. Pakwa pilipili ya kutosha mwilini, charazwa viboko ili iwe mfano. Adhabu hiyo itawafaa na wale under 18 wacharazwe na pilipili ila aliepitiliza 30 years viboko na kunyongwa. Nakwambia nchi itakaa sawaNa hii ya kunyongwa kuna mijitu na akili yao itakuja kukataa hapa....
Tz hi kuna watu poor brain kabisa 😂 😂
Mtu kama huyo ni kunyongwa ila kabla ya hapo apewe adhabu kali hadi amtaje mganga aliyempa mashart kama hayo..
Then wachukuliwe kwanza wapigane miti wao kwa wao...
Wapigwe pasi za matrakooo
Alafu ndo wanyongwe...
Yaani kwenye kitengo cha kutocha watu naomba wanikodi maana nina njia 105 za kutocha mtu mpaka akasema ila kitu
Umefika kwenye point yangu sasa. Ichukuliwe kama armed robbery. Ile kifaa inayotumia kusokotoea si ni ‘arm’ kabisa ile. Hakuna dhamana hata kama una mjomba ni mkuu wa kituoHatuna ya kwanza na muhimu ni kufanya Hilo kosa lisiwe na dhamana
Human right.Watundikwe tu viboko pale uwanja wa taifa huku kamba zinawasubiri. Yani anakufa baada ya mateso. Pakwa pilipili ya kutosha mwilini, charazwa viboko ili iwe mfano. Adhabu hiyo itawafaa na wale under 18 wacharazwe na pilipili ila aliepitiliza 30 years viboko na kunyongwa. Nakwambia nchi itakaa sawa
Nimetoka kusema juu huko, wapakwe pilipili mwili mzima, watundikwe uwanjani pale, charaza kweli kweli huku ameanikwa juani, dozi inaanza saa moja asubuhi hadi jua la jioni linazama anashushwa na kamba shingoni biashara imeisha.Adhabu ya kifo bado ni ndogo bila ya wao kupitia mateso makubwa sana.
Ila kuwalawiti watoto sio human right?Human right.
Maybe shetwani!.Ila kuwalawiti watoto sio human right?
Hii ndo human right unayoiongelea mkuu? You’re joking right?Human right.
Ume google😁😁🐸👈Hii ndo human right unayoiongelea mkuu? You’re joking right?
View attachment 3000841
View attachment 3000843
View attachment 3000841
View attachment 3000843
You are the dumbest human being alive! Ama na wewe ni mmoja wa walawiti!!Ume google😁😁🐸👈
Bado hapo kama unawapendelea hivi.. yaani viboko tuu hapana adhabu ziwe za kutosha ...Watundikwe tu viboko pale uwanja wa taifa huku kamba zinawasubiri. Yani anakufa baada ya mateso. Pakwa pilipili ya kutosha mwilini, charazwa viboko ili iwe mfano. Adhabu hiyo itawafaa na wale under 18 wacharazwe na pilipili ila aliepitiliza 30 years viboko na kunyongwa. Nakwambia nchi itakaa sawa
Watu wa haki za binadamu ni wanafiki namba moja.Habari wadau.
Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?
Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma!!
Jamii inawajua hawa walawiti na inawakingia kifua?
Je? Ni sheria zimelega sana ndo maana watu wanafanya wakijua sheria ina lacuna?
LHRC, mbona juhudi zenu zipo kwenye reaction za wananchi tu? Yani huwa mnasubiri msikie mwanaume mmoja alilawiti mtoto wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto au msikie walawiti wameanza kukatwa jinsia zao au hadi msikie wamepangwa mlimani wanafyatuliwa shaba kichwani ndo huwa mnaibuka na kukemea wanachokua wamefanyiwa.
Inaumiza sana na haya matukio. Yani watoto ndo inauma sana. Kila siku unasikia jipya,
Je nguvu ni ile kauli ya kwamba “mwanaume ndo alivyoumbwa hawezi kujicontrol hisia? “ kwahiyo ndo ulawiti mtoto?
Sheria gani kali iundwe ili iwe fundisho la mfano. Mnaharibu kizazi chetu.
Ukachukua hatua gani?Kwa macho yangu niliona chizi akipigwa mashine na wanaume 2 wenye akiri timamu
Kitu Cha msingi Cha kufanya ili kukomesha hata matukio ni kumuadhibu kisheria mhalifu wa haya matukioHabari wadau.
Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?
Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma!!
Jamii inawajua hawa walawiti na inawakingia kifua?
Je? Ni sheria zimelega sana ndo maana watu wanafanya wakijua sheria ina lacuna?
LHRC, mbona juhudi zenu zipo kwenye reaction za wananchi tu? Yani huwa mnasubiri msikie mwanaume mmoja alilawiti mtoto wananchi wenye hasira kali wamemchoma moto au msikie walawiti wameanza kukatwa jinsia zao au hadi msikie wamepangwa mlimani wanafyatuliwa shaba kichwani ndo huwa mnaibuka na kukemea wanachokua wamefanyiwa.
Inaumiza sana na haya matukio. Yani watoto ndo inauma sana. Kila siku unasikia jipya,
Je nguvu ni ile kauli ya kwamba “mwanaume ndo alivyoumbwa hawezi kujicontrol hisia? “ kwahiyo ndo ulawiti mtoto?
Sheria gani kali iundwe ili iwe fundisho la mfano. Mnaharibu kizazi chetu.
Muhimu kuzingatia sheria juu ya wahusika wa matukio hayaHabari wadau.

Inasikitisha sanaKwa macho yangu niliona chizi akipigwa mashine na wanaume 2 wenye akiri timamu
Inasikitisha sanaPole sana. Wewe uko kama mimi. Hili limekuwa kamamoja ya sehemu za utamaduni wetu. Kuna sababu nyingi.
1. Watu kuzaa hovyo huku wakiwa hawana muda wa kuwalea watoto kwa sababu ya kukimbizana na maisha magumu.
2. Ndoa nyingi kuvunjika na kuacha watoto walio na single parents.
3. Kushamiri kwa imani potofu za ushirikina zinazoachiwa zienee kwa kasi kwenye social media na vyombo vya habari
4. Jamii kutokuchukuwa hatua mara wanapoona viashiria vya unyanyasaji wa watoto.
5. Serikali iliyoshindwa kila kitu na muda mwingi unatumika kwenye kulaghai wananchi kwa sababu haina majibu wala vision ya kuondoa matatizo
6. Jeshi la polisi mahakama vililojaa rushwa kuachia watuhumiwa wanapokamatwa
7. Rais wa nchi anayeachia mambo yajiendee yenyewe, asiye na ushawishi na anayedharaulika na walio chini yake (unakumbuka yule kijana wa Babati na ushahidi wa alichofanyiwa na mbunge lakini rais akamlinda?)
Ni huzuni sana lo