Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Duuh kumbe Baraka alipita hapa? Kijamaa kilikuwa kinagonga pisi nzuri sana.
Halafu ni zamani mnooo kabla hata wengine hawajamshtukia.

Na Caren anadai wakati Baraka mwanamke wake rasmi alikuwa anatambulika Naj, yeye alikuwa side chick na mambo yalienda hivyo miaka yote!
 
Sasa kwann kashindwa kumtuliza Sumi, khaaah
Hujaelewa? Sumi ni mdangaji hakuridhika na Aucho, bado alikuwa anadanga ileile.

Ujue wachezaji wako busy na ratiba yao ni ngumu, hivyo mwanamke unatakiwa kuwa mtulivu na mvumilivu haswa.

Ndio maana Mayele kajiopolea wa kufanana nae wala hana stress.
 
Unapigwaoigwa hivyo,nadhani Carren atakua anajuta kuchelewa kuachika na Da Prince,saa hizi anachezea kila size,kwa uhuru.
Na kawa na maisha ya juu mno! Huenda alikuwa na stress kuachana na Baraka 🤣🤣

Maisha haya? 🙌🏾
 
Aucho hajawahi fika hapa,hapa yupo diarra,azizi,yao,msonda..
Aiseeee yani mko na injini yote ya Yanga hapo? Kwahiyo mkimuona mnajua anaenda kutoa huduma 🤣🤣🤣

Nyie hao watu isijekuwa wanafanya yale mambo ya mtu 3! 😩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…