Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Sikupingi Babu, na uko sahihi kwa upande wako...

Babu haya mambo umeanza lini lakini? Hii ndio faida ya kuwa na wewe hapa jamvini. Huoni mwenzako Mohamed Said anavyotupa historia mujarab?
Nyie ni tunu.
 
Aiseee mjini hapa sio poa, mi msimu wa sikukuu nitahakikisha nakaba kona zote maana ukilegeza kidogo tu ndio haya sasa.

Na wateja wakubwa ni waume za watu, hatari!
🤣
Sasa hivi pisi zinataka kung'ang'ania madon mpaka msimu wa valentine. Wajipost kuwa wamepewa zawadi na 'wapenzi'. Kumbe wamejinunulia kutokana na hela za masponsor mbalimbali 🤣
 
🤣
Sasa hivi pisi zinataka kung'ang'ania madon mpaka msimu wa valentine. Wajipost kuwa wamepewa zawadi na 'wapenzi'. Kumbe wamejinunulia kutokana na hela za masponsor mbalimbali 🤣
Kweli mjini kuna vurugu, kumbe ndio michezo yao hiyo?
Sisi tukitolewa dinner wenzetu wanapewa range tunakubali ndio uwezo wetu, loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…