Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #221
Nani kakudanganya wewe? Hivi umewahi kumuona anavyotembea? Subiri siku nitakuwekea video.Naskia kumbuka haliwi yeye ila anawala yeye .hivo hata wadada watoa ndogo ndo wamemzunguka
Nilicheka sana
Yeye anawalipa watu kumfanyia huo ushenzi.