Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€£π€£π€£π€£Inashangaza aucho wa yanga kuchanganywa na somebode simba
Ngoja kwanza, mbona PhD ni muhuni sana yule? Yule kaka kajua kuwatembezea wadada sio poa, how?Phd
The greatest
P wa late the great.
Unataka wengne? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna pini fulani hivi inajiita Ge....Eda kuna musician fulani hivi mkubwa tu hapa DSM katoboka parefu sana kumpata yule mtoto, lakini maborn town pale tulichachua kirahisi sana pale, π π kuna mshikaji wangu kama atapita hapa atakuwa ni shahidi.Kwani muonekano ni shida zake zaidi ya hela? Kibunda ndio muonekano wenyewe (kwake) π€£π€£π€£
Yah, mbona inaeleweka Nifah.Najulia wapi ndugu yangu bado nina kamba mguuni mjini hapa!
Kumbe βsokoniβ kuna vigezo tofauti na kibunda? Mapya haya!
Wewe Fei na Lokole walikuwa couple na penzi lilikuwa la moto balaa! Ila alipoanza tu migogoro yake na Yanga akamwagwa!Mbna Fei hata hakudate na lokoleee? Usije ona Paula alisema kuwa lokole anadate na mcheza mpira, bas lokole aliyekua ana date nae ni wa Azam, na waliachana baada ya mchezaji wa Simba kuingilia pale.
Nweiii fei mwenyewe ni versatile, anakula na kuliwa, si alikua analiwa na yule aliyepo simba sahv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hao wachezaji sasa hawajui kuvunga,hamna watu malaya kama wacheza mpira. kuna ndugu yangu alitoka na nusu kikosi cha yanga mwaka juzi.. ila ye huwa ana shobo na BAKARI NONDO.
Akaja akahamia azam akawapunyua mpaka
akahamia simba kipindi kile akamdandia morisson saivi katimkia uturuki.
na sio yeye tu yani wadangaji wengi tu kama una shobo na mchezaji unaulizwa tu tukupe fulani
Sio kwamba unapimiwa kutokana na pochi yako? Maana musician huyo mkubwa lazima inafahamika kibunda kipo.Kuna pini fulani hivi inajiita Ge....Eda kuna musician fulani hivi mkubwa tu hapa DSM katoboka parefu sana kumpata yule mtoto, lakini maborn town pale tulichachua kirahisi sana pale, π π kuna mshikaji wangu kama atapita hapa atakuwa ni shahidi.
Yah, mbona inaeleweka Nifah.
Kwakweli hata kama ni mimi nisingetaka, huo sasa ujinga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hao wachezaji sasa hawajui kuvunga,
Wanagawa uroda tyuuh, kuna shost angu alikua anadate na Ndemla, jinsi walivyokutana nilicheka hoi.
Cku hiyo anamuambia ndemla, "shost angu anataka nae bwana mcheza mpira" akamuuliza anamtaka nani akamtajia akasema eti awe mpole namsetia,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nka m cancel aache mie staki,
"Nakuja, ila sio kwa kukimbia, natembea taratibu, nikikimbia nitaanguka na miguu enyewe haina vidole"Hajajibu msg, hata tsap hajafungua
Nitafsirie mwenyewe[emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchicha mwiba.Ule utetezi wake kwa yule kijana aliyeenda kushtaki kwa Mange kufanyiwa nae mchezo mbaya nilicheka sana, yani mno!
Heheheh hallowwww!!!Ngoja kwanza, mbona PhD ni muhuni sana yule? Yule kaka kajua kuwatembezea wadada sio poa, how?
P kwamba yule dogo ambaye mama yake pia anaigiza? Si alikuwa anatoka na Niffer jamani?
Sijui ila ni kama Ray alimtumia feza kufanya appearance kwenye event kwa sababu ingetengeneza attention kwake. Alifanikisha hilo ila kwa feza sidhani kama harmo angeweza tengeneza kiki nae tena kwa kutumiwa na hasimu wake kwa wakati uleNgoja kwanza, kwamba Vanny Boy nae alipiga?
GEEDA huyu wa kujurusha IG, ana jipya gani sasa? Afu naona kaanza ku trend mwaka jana, akat nimekaa nae sana classic saloon sinza mugabe.Kuna pini fulani hivi inajiita Ge....Eda kuna musician fulani hivi mkubwa tu hapa DSM katoboka parefu sana kumpata yule mtoto, lakini maborn town pale tulichachua kirahisi sana pale, [emoji28][emoji28] kuna mshikaji wangu kama atapita hapa atakuwa ni shahidi.
Yah, mbona inaeleweka Nifah.
Wee emu nirudi kwa fudenge nkaulize kuhusu fei na lokolee, mbna sina habari? Ingekua kweli mbna ningeshajua woiiiiihWewe Fei na Lokole walikuwa couple na penzi lilikuwa la moto balaa! Ila alipoanza tu migogoro yake na Yanga akamwagwa!
Huyo aliyeko Simba akili imeshindwa kufanya kazi haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wachezaji wanapeana pisi na hawaulizii.Kwakweli hata kama ni mimi nisingetaka, huo sasa ujinga.
Aaah hakyamungu?Hersi itabidi aingilie hili kati kama alivyoingilia kwa Dogo wa ugali sukari na Juma Lokole!
Nyie hamjui tu, chanzo kikuu ni dogo kukatazwa mahusiano na Juma Lokole π₯±
Kwa umri wake Niffer ni muhimu akaendelea na utafiti wake kuhusu dudu. Akimaliza aandike ripoti na ku-submit kwa mkuu wa idara Dr Amber Ruty aweke comment.Ndio maana basi, hana maajabu ndugu yangu. Na msanii wangu pendwa ameshafanya yake na kumbwaga! Hadi huruma masikini Niffer alimpenda sana jamaa!
Kwakweli Miss Tanzania top 5 yake iwekwe pale Makumbusho, ni muhimu kwa taifa na vizazi vijavyo kufahamu.
Wasanii wetu wanasumbuliwa sana na nyege mshindo π π siwezi kushangaa kabisa.GEEDA huyu wa kujurusha IG, ana jipya gani sasa? Afu naona kaanza ku trend mwaka jana, akat nimekaa nae sana classic saloon sinza mugabe.
Huyo msaniii nae poyoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lala Nifah, usingizi ushaanza kukulevya πSio kwamba unapimiwa kutokana na pochi yako? Maana musician huyo mkubwa lazima inafahamika kibunda kipo.
Sijui nina usingizi? Codes zinanigomea kabisa!
Samahani mwanalunyasi mwenzangu hivi kuna ubuyu ambao huujui hapa mjini daslam??Wee emu nirudi kwa fudenge nkaulize kuhusu fei na lokolee, mbna sina habari? Ingekua kweli mbna ningeshajua woiiiiih