Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Phd
The greatest
P wa late the great.

Unataka wengne? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja kwanza, mbona PhD ni muhuni sana yule? Yule kaka kajua kuwatembezea wadada sio poa, how?

P kwamba yule dogo ambaye mama yake pia anaigiza? Si alikuwa anatoka na Niffer jamani?
 
Kwani muonekano ni shida zake zaidi ya hela? Kibunda ndio muonekano wenyewe (kwake) 🀣🀣🀣
Kuna pini fulani hivi inajiita Ge....Eda kuna musician fulani hivi mkubwa tu hapa DSM katoboka parefu sana kumpata yule mtoto, lakini maborn town pale tulichachua kirahisi sana pale, πŸ˜…πŸ˜… kuna mshikaji wangu kama atapita hapa atakuwa ni shahidi.
Najulia wapi ndugu yangu bado nina kamba mguuni mjini hapa!

Kumbe β€˜sokoni’ kuna vigezo tofauti na kibunda? Mapya haya!
Yah, mbona inaeleweka Nifah.
 
Mbna Fei hata hakudate na lokoleee? Usije ona Paula alisema kuwa lokole anadate na mcheza mpira, bas lokole aliyekua ana date nae ni wa Azam, na waliachana baada ya mchezaji wa Simba kuingilia pale.

Nweiii fei mwenyewe ni versatile, anakula na kuliwa, si alikua analiwa na yule aliyepo simba sahv.
Wewe Fei na Lokole walikuwa couple na penzi lilikuwa la moto balaa! Ila alipoanza tu migogoro yake na Yanga akamwagwa!

Huyo aliyeko Simba akili imeshindwa kufanya kazi haraka.
 
hamna watu malaya kama wacheza mpira. kuna ndugu yangu alitoka na nusu kikosi cha yanga mwaka juzi.. ila ye huwa ana shobo na BAKARI NONDO.
Akaja akahamia azam akawapunyua mpaka
akahamia simba kipindi kile akamdandia morisson saivi katimkia uturuki.
na sio yeye tu yani wadangaji wengi tu kama una shobo na mchezaji unaulizwa tu tukupe fulani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hao wachezaji sasa hawajui kuvunga,
Wanagawa uroda tyuuh, kuna shost angu alikua anadate na Ndemla, jinsi walivyokutana nilicheka hoi.
Cku hiyo anamuambia ndemla, "shost angu anataka nae bwana mcheza mpira" akamuuliza anamtaka nani akamtajia akasema eti awe mpole namsetia,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nka m cancel aache mie staki,
 
Kuna pini fulani hivi inajiita Ge....Eda kuna musician fulani hivi mkubwa tu hapa DSM katoboka parefu sana kumpata yule mtoto, lakini maborn town pale tulichachua kirahisi sana pale, πŸ˜…πŸ˜… kuna mshikaji wangu kama atapita hapa atakuwa ni shahidi.

Yah, mbona inaeleweka Nifah.
Sio kwamba unapimiwa kutokana na pochi yako? Maana musician huyo mkubwa lazima inafahamika kibunda kipo.

Sijui nina usingizi? Codes zinanigomea kabisa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hao wachezaji sasa hawajui kuvunga,
Wanagawa uroda tyuuh, kuna shost angu alikua anadate na Ndemla, jinsi walivyokutana nilicheka hoi.
Cku hiyo anamuambia ndemla, "shost angu anataka nae bwana mcheza mpira" akamuuliza anamtaka nani akamtajia akasema eti awe mpole namsetia,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nka m cancel aache mie staki,
Kwakweli hata kama ni mimi nisingetaka, huo sasa ujinga.
 
Ngoja kwanza, mbona PhD ni muhuni sana yule? Yule kaka kajua kuwatembezea wadada sio poa, how?

P kwamba yule dogo ambaye mama yake pia anaigiza? Si alikuwa anatoka na Niffer jamani?
Heheheh hallowwww!!!

Bas mkuu wa mkoa fulani anabutuaa palee.
Niliupata ubuyu kwa kuaminika, sikuchoka kwake, ila kwa mkuu wa mkoa, alivyo hafananiii

Ndo maana nkaanza kuamini, sku hizi u gay watu wanatumia ktk mambo ya ushirikina. Sio kwa yule baba jamani khaaah
 
Ngoja kwanza, kwamba Vanny Boy nae alipiga?
Sijui ila ni kama Ray alimtumia feza kufanya appearance kwenye event kwa sababu ingetengeneza attention kwake. Alifanikisha hilo ila kwa feza sidhani kama harmo angeweza tengeneza kiki nae tena kwa kutumiwa na hasimu wake kwa wakati ule

So, feza hakupiga hesabu zake vizuri, angestick na kiki ya harmo ingempa mileage
 
Kuna pini fulani hivi inajiita Ge....Eda kuna musician fulani hivi mkubwa tu hapa DSM katoboka parefu sana kumpata yule mtoto, lakini maborn town pale tulichachua kirahisi sana pale, [emoji28][emoji28] kuna mshikaji wangu kama atapita hapa atakuwa ni shahidi.

Yah, mbona inaeleweka Nifah.
GEEDA huyu wa kujurusha IG, ana jipya gani sasa? Afu naona kaanza ku trend mwaka jana, akat nimekaa nae sana classic saloon sinza mugabe.

Huyo msaniii nae poyoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe Fei na Lokole walikuwa couple na penzi lilikuwa la moto balaa! Ila alipoanza tu migogoro yake na Yanga akamwagwa!

Huyo aliyeko Simba akili imeshindwa kufanya kazi haraka.
Wee emu nirudi kwa fudenge nkaulize kuhusu fei na lokolee, mbna sina habari? Ingekua kweli mbna ningeshajua woiiiiih
 
Ndio maana basi, hana maajabu ndugu yangu. Na msanii wangu pendwa ameshafanya yake na kumbwaga! Hadi huruma masikini Niffer alimpenda sana jamaa!

Kwakweli Miss Tanzania top 5 yake iwekwe pale Makumbusho, ni muhimu kwa taifa na vizazi vijavyo kufahamu.
Kwa umri wake Niffer ni muhimu akaendelea na utafiti wake kuhusu dudu. Akimaliza aandike ripoti na ku-submit kwa mkuu wa idara Dr Amber Ruty aweke comment.
 
GEEDA huyu wa kujurusha IG, ana jipya gani sasa? Afu naona kaanza ku trend mwaka jana, akat nimekaa nae sana classic saloon sinza mugabe.

Huyo msaniii nae poyoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasanii wetu wanasumbuliwa sana na nyege mshindo πŸ˜…πŸ˜… siwezi kushangaa kabisa.
 
Back
Top Bottom