Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Nenda kaulize vizuri, Lokole alijua kulipambania hilo penzi la kishetani [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh ni kweliii, nimepata ubuyuu lakini inasemekana lokolee alikua anafosi, ndo fei ilibidi awe ana mmega kumridhisha, na alimuambia hataki drama za matangazoo

Nkasema ndo maana sikua najua, na pia kumbe wakat yuko na wa azam na fei alikuwemo, ndo maan mie nkajua wa azam tyuu.
 
Si umeona nilikwambia Lokole alipigania penzi? Yani alipambana mpaka akampata Fei, nilihuzunika mnoooo!

Ndio Injinia kuingilia kati, ugomvi ukaibuka mpaka mambo ya sukari!

Huyo wa Azam ndio naniiiii?
 
Safi sana, mwenyewe nimeshasema sitaki urafiki kwa kaka mzuri wangu!
Sitaki kabisaaaaa.

Ila mwaya sinaga mashoga, wa kutembeleana home sijui nini hapana.
Tuishie hukohuko makazini na barabarani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hakuna wa kuja Home, ila tutakutana huko kijiweni, mtaani etc.
Hata majirani cna ukaribu nao kivileee.
 
Kumbuka si alikua na yule mtumbuliwa wa mkoa wa kula mbwa, tena baada ya kuachana na lokoleee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbuka sahv yuko na waziri mpyaaa, jimbo lenye jina la gereza.
Ngoja kwanza, twende taratibu ubuyu unanipa wa moto mfululizo mpaka napaliwa 🤣🤣🤣🤣

Mtumbuliwa huyu aliyeko jiji la maraha sasa hivi au?

Acha masikhara bwana, kale ka kaka kenye mashauzi? Kanakojiita ka kishua? 🙊
 
Sasa huyo mbunge ndio anafanya hivyo sababu ya zile biashara zake au vipi jamani?
Dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambia anaiba nyota, muulize shost wa Wema, alikombwa nyota zoteee, hela anapewa anafanyia kisicho eleweka.

Kwenda kwa sangoma kumbee nyota zote hazipo, mwenzake anashusha ndinga kila leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na anapenda nyuma yule baba, tena kwa gays au me, yuko tayar kupanda dau ili straight amgeuze Gay.
 
Shost yupi? Yule Shangazi au?
 
Si umeona nilikwambia Lokole alipigania penzi? Yani alipambana mpaka akampata Fei, nilihuzunika mnoooo!

Ndio Injinia kuingilia kati, ugomvi ukaibuka mpaka mambo ya sukari!

Huyo wa Azam ndio naniiiii?
Nyie lokolee atakufa mwili unachucha majii, unajua anawapanga foleni wanaume? Haogopiii hata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi Lokole nilikuwa namtetea nyie acheni tu. Ila nasikia nae ana mishangazi yake Tabata huko.

Mwanaume wake Mkuu si yule muuza perfume maarufu?
 
Ngoja kwanza, twende taratibu ubuyu unanipa wa moto mfululizo mpaka napaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mtumbuliwa huyu aliyeko jiji la maraha sasa hivi au?

Acha masikhara bwana, kale ka kaka kenye mashauzi? Kanakojiita ka kishua? [emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu chapombe hana mambo hayo, ni yulee kijana bhana, wew yule si ndo alimpa mtaji wa biashara ya mazao lokoleee.

Ye mwenyewe anajifanyisha mkulima hodariii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tobaaaaaa! Basi nimeshamjua mwaya

Huyo si uliona mpaka yule aliyejigeuza mwanamke alimtaja kama mteja wake kwa Mange? Yule kaka jamani!
 
Back
Top Bottom