Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

Khaligraph Jones tunampa Wakazi tu size yake.
Nilishawahi kuwaambia watu humu ndani nikaishia matusi, ila kiukweli Wakazi angekuwa anafanya Rap Full Time na kupata usimamizi mzuri, bwana yule ni moto wa kuotea mbali mno. Sema shida hapa TZ ni kwamba hata Presenters wa Radio hawafahamu muziki. Uko sahihi Kaligraph size yake ni Wakazi Webiro Wassira.
 
Mkuu, kwanini umebadilisha ID yako!?
Aisee, kuna sehemu nimekuchallenge hapo juu, ngoja nifute comment yangu.
😂😂😂😂
 
P Mawenge alisha diss kimtindo, alimwammbia mshkaji anachana kama rapper wa kikenya, yaani wack
 
We ni nani..!? mana inaonekana una AKILI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…