Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Hi guys,
Kwa wale wataalamu tusaidiane kuelimishana
Asanteni sana
Vyote viko bien tuView attachment 3687146View attachment 3687147
Hi guys,
Kwa wale wataalamu tusaidiane kuelimishana
Asanteni sana
i will never use cha kukaa popote niendapo bora niende kushusha gogo vichakani nifukie mboleaView attachment 3687146View attachment 3687147
Hi guys,
Kwa wale wataalamu tusaidiane kuelimishana
Asanteni sana
sawa muuza hardware unataka faida kubwa wengi mnasingizia afya ya mgongoHivi mtu mzima na familia unaanzaje kuchuchumaa kujisaidia haja kubwa, tena kwa nyumba yako. Embu chukua choo cha kukaa mkuu.
Una uelewa mdogo.sawa muuza hardware unataka faida kubwa wengi mnasingizia afya ya mgongo
Hapa ninaunga mkono hojaCha kuchuchumaa.....nilimsikia Mama Terry-radio one kitambo kileeee
Mjomba unaonekana kufurahia sana wakati wa kukata gogo. Hapo choo kizuri kwa sisi wala dona ni cha kuchuchumaa tu.Hivi mtu mzima na familia unaanzaje kuchuchumaa kujisaidia haja kubwa, tena kwa nyumba yako. Embu chukua choo cha kukaa mkuu.