Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

Vyote vina faida! Vyooo vya kukaria vinawafaa watu Wanene hasa akina mama na watu wenye matatizo ya magoti.
 
Tayar kimeumana
Kwa nini uibie bafuni mzee
Au mnaogea bafu la nje kitanda kipo mbali
Ni la ndani ndo lilikua vibe letu tukienda kuoga unainamisha ni fantacy fulani lakini nadhani muda unanitupa mkono
 
Huwezi kupata jibu la uhalisia kutoka kwa hao watu uliowataja mana hao wanahitaji usaidizi, zungumzia mtu mzima na afya yake

choo cha kukaa all the way, choo cha kuchuchumaa ni umaskini, hatua ya kwanza ni choo cha shimo tulikuwa navyo na mpaka leo kuna nyumba tena nyingi tu zina vyoo vya shimo halafu ya pili ni choo cha kichina cha kuchuchumaa pia (waasia nia msikini au walikuwa masikini pia kama sisi tu) hicho cha upande kulia halafu hatua ya tatu na mwisho ya civilization ni choo cha kukaa.

hakuna bilionea dunia hii hata huko asia ambaye anatumia choo cha kuchuchumaa, ukifika asia china au india hakuna hotel hata moja five star yenye choo cha kuchuchumaa hilo linakwambia kila kitu hata middle na upper class wote huko asia wanatumia choo cha kukaa.

tulianzia huku
1791615785902.png


tukaja hapa
1791615873186.png


tuko hapa na wengi bado hata hapa hawajafika bado
1791616009929.png



hatua ya mwisho ni hapa ...
1791615962488.png
 
hii discussion hauweuzi kuikuta kenya (nairobi) hata siku moja, kwani wote wamezoea vyoo vya kukaa, hivyo ni swala la utamaduni, tanzagiza baada ya uhuru ilenda east china, india & co. vs kenya walibakia na english system ndiyo maana kenya (naongelea nairobi ofcoursce) hata watu wa kawaida wanatumia vyoo vya kukaa na wala hakuna debate kwa maana ndiyo aina vyoo wanavyojua vs tanzagiza tulianzia na vya shimo kuchuchumaa wengi tumekulia hivyo sasa kama tuelewavya mazoea ni ngumu sana kumwambia mtu ambaye ameenda haja kubwa kwa kuchuchumaa maisha yake yote leo hii aanze kukaa chooni hawezi kukuelewa vile vile aliyetumia choo cha kukaa maisha yake yote hajui hata aanzie wapi kuchuchumaa chooni kwanza hata wengi wanogopa hilo shimo.

tafuta tu mtoto aliyelelewa kwenye nyumba iliyo na choo cha kukaa halafu mpeleke kwenye nyumba ya choo cha shimo wengi wanakataa na wanogopa hata kutia mguu kwenye hicho choo, naonglea watoto wadogo ofcourse ...
 
Back
Top Bottom