Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

Hivi mtu mzima na familia unaanzaje kuchuchumaa kujisaidia haja kubwa, tena kwa nyumba yako. Embu chukua choo cha kukaa mkuu.
Umesoma ujumbe wake? Kiafya choi Cha kukaa kinakuketea kabsa ya haja kubwa
 
Inategemea na umri plus afya ya Mtumiaji, kama ni Mtoto au kijanana upo physically fit cha kuchutama ni bora zaidi, kama ni Mzee na viungo vimeanza kuchoka hasa magoti basi cha kukalia ni bora.
Na pia kama ni cha umma au nyumbani tu.

Kwa jinsi Watanzania wengi walivyo wachafu na kukosa ustaarabu choo cha kuchuchumaa ndicho kinafaa maeneo mengi zaidi ya umma.
 
Una uelewa mdogo.
Ukikua utaelewa
HAPA HOSPITALI WAMEJAZA VYOO VYA IUKAA NA NI HOSPITALI YA RUFAA, NB VYOO HIVYO NI SPECIAL KWQ WATU WAVIVU NA WAZEMBE MBALI NA WAGONJWA.

UNAKULA MBUZI KILQ WEEKEND UKIFIKIAHA 40 UNAANZA KUSINGIZIA MAGOTI MABOVU.


KILE CHOK LABDA KIWE CHQKO BINAFSI MPAKA UINAKUFA.

WADUDU WA UTI, MAGINJWA YA NGOZI N.K NENDA KENYA NAIROBI MADEMU WENGI HUKO DOWN HAKUNA MVUTO.
 
Huu usasa una mambo ya ajabu sanaa....choon unakaaje kwa mfano?labda kama una changamoto ya viungo....unyama ni kuchuchumaa...afu mbaya zaidi kuna hivi vibomba vya kutawaza..sijui vya nini mle choon?kwa ile pressure kwa kwel vinawafaa kina uncle T..
 
Kiafya:
1. Kama ulivyouliza..tunatakiwa kwa siku tukae/tufanye mazoezi ya mkaa wa Asili/mchumao/kama tulivyokuwa watoto(wajapan wanafanya hivyo kwa sana).
Kwa vile, hayo mazoezi hatuyafanyi basi tutumie vyoo vya chini ili zile dakika za kujisaidie ziwe kama mazoezi ya kuimarisha magoti na misuli.
2. Kiafya.
Wapo ambao wameathirika na matatizo ya magoti na migongo..hivyo inashauriwa watumie vyoo vya kukaa.
3. Kiafya.
Ili kuepuka migusano ya moja kwa moja kati ya Viungo vya mwili na Choo kinachotumiwa na watu wengi..ni Vema kutumia choo cha kuchuchumaa.
 
Cha kuchuchumaa ni kizuri, unatoa mzigo wote, ila cha kukaa hutoi mzigo wote na kilitengenezwa kwa wale watu wenye changamoto ya kuchuchumaa, mfano; walemavu, wazee, na wale wenye changamoto za kiafya.
 
Kunya ni kunya tu hata ukinya umelala kifudifudi nako ni sawa tu,hata ukinya ukiwa umeninginiza mguu mmoja pahala ni sawa
 
Kama huna shida yoyote ya kiafya ni bora kutumia cha kuchuchumaa!
 
Choo cha kuchuchumaa ni bora zaidi...
Vyoo vya kukaa hata wataalamu wenyewe wanashauri uweke stool, uvungu wa magoti usitengeneze 90 degrees ukiwa unajisaidia..

Choo cha ku squat inapelekea rectum kunyooka vyema ili kutoa haja vizuri zaidi...

Unless mtu ana matatizo ya miguu/magoti...

Lakini kiafya kwa ujumla kwa hygiene na afya ya mwili ni vyema kutumia cha ku squat/chuchumaa...

Vyoo vya kukaa hupelekea bawasiri, michubuko kwa sababu utumbo unajipinda, inaweza pelekea utumbo kutoka nje sababu unatumia nguvu kusukuma Choo kila siku...

Hii mada ilikuwepo huko mitandaoni hivyo vya kukaa wanaita western style na hivyo vya ku chuchumaa wanaita Indian style.. wataalamu wa afya wamethibitisha vyoo vya kukaa si salama...
2_4c734bd2-d4a4-4ac7-b7b5-a7818898ad38_1024x1024.webp

images

Wanashauri kama una Choo cha kukaa tumia stool kuweka miguu.. uvungu wa magoti usitengeneze 90 degrees...
 
ukitaka kupata jibu la uhalisia kawaulize wazee na wagonjwa au hata walemavu hilo swali, wachague choo kipi kinafaa na kila mtu atakuwa mzee siku moja plus msalani ni starehe pia unaweza kusoma gazeti au hata kuchati na simu ...
Huwezi kupata jibu la uhalisia kutoka kwa hao watu uliowataja mana hao wanahitaji usaidizi, zungumzia mtu mzima na afya yake
 
HAPA HOSPITALI WAMEJAZA VYOO VYA IUKAA NA NI HOSPITALI YA RUFAA, NB VYOO HIVYO NI SPECIAL KWQ WATU WAVIVU NA WAZEMBE MBALI NA WAGONJWA.

UNAKULA MBUZI KILQ WEEKEND UKIFIKIAHA 40 UNAANZA KUSINGIZIA MAGOTI MABOVU.


KILE CHOK LABDA KIWE CHQKO BINAFSI MPAKA UINAKUFA.

WADUDU WA UTI, MAGINJWA YA NGOZI N.K NENDA KENYA NAIROBI MADEMU WENGI HUKO DOWN HAKUNA MVUTO.
Nilienda hospital x vyoo vyake ni vya kukaa aseeh nilichuchumaa kwenye vile vyoo sikutaka kuchukua maradhi aseeeh
 
Back
Top Bottom