Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kitendo cha kujisaidia haja kubwa kimeumbwa kwa kuchuchumaa, ili kinyesi kitoke ni lazima misuli ya haja kubwa ibane/ijikaze ili iweze kusukuma kinyesi, na misuli hiyo haiwezi kufanya kazi vzr ukiwa umekaa.
Ww jaribu kujisaidia ukiwa umekaa na ukiwa umechuchumaa, utaona utofauti.
Ww jaribu kujisaidia ukiwa umekaa na ukiwa umechuchumaa, utaona utofauti.