Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

Inategemea na umri plus afya ya Mtumiaji, kama ni Mtoto au kijana na upo physically fit cha kuchutama ni bora zaidi, kama ni Mzee na viungo vimeanza kuchoka hasa magoti basi cha kukalia ni bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…