Usukumani moja hii...Mimi hata kwenye choo cha kukalia nachuchumaa.. Sasa ukikaa gogo linatokaje
Cha kukaa napanda juu nachuchumaa zigo linashuka fresh tui will never use cha kukaa popote niendapo bora niende kushusha gogo vichakani nifukie mbolea
Andika vizuri nyau wewe, makosa kibao.HAPA HOSPITALI WAMEJAZA VYOO VYA IUKAA NA NI HOSPITALI YA RUFAA, NB VYOO HIVYO NI SPECIAL KWQ WATU WAVIVU NA WAZEMBE MBALI NA WAGONJWA.
UNAKULA MBUZI KILQ WEEKEND UKIFIKIAHA 40 UNAANZA KUSINGIZIA MAGOTI MABOVU.
KILE CHOK LABDA KIWE CHQKO BINAFSI MPAKA UINAKUFA.
WADUDU WA UTI, MAGINJWA YA NGOZI N.K NENDA KENYA NAIROBI MADEMU WENGI HUKO DOWN HAKUNA MVUTO.
Tayar kimeumanaInawezekana aise ngoja niende kwa vipimo, maana kwa Sasa hata nikiibia kile cha bafuni na mamsi nitaumwa magoti noma.
Kuchuchumaa ni natural na Ina maana kiafyaHivi mtu mzima na familia unaanzaje kuchuchumaa kujisaidia haja kubwa, tena kwa nyumba yako. Embu chukua choo cha kukaa mkuu.
nunua cha kukaa ILA UWE na kigoda cha kuweka miguu ili tumbo likae kwenye position nzuri ya kushusha mzigo. ukikaa kawaida km kwenye kiti mzigo hautoki wote. ukitaka uhakiki kama choo cha wageni ni cha kuchuchumaa jaribu huko na siku nyingine jaribu cha kwako cha kukaa utaona tofautiView attachment 3687146View attachment 3687147
Hi guys,
Kwa wale wataalamu tusaidiane kuelimishana
Asanteni sana
Umeona ee kuchuchumaa unyama sana yaani mzigo unatoka wote...mi vya kukaa sipendi huonjoi😀Kuna mkoa mmoja nilienda karibu lodge zote vyoo ni vya kukaa ....Sasa unawaza makalio mangapi yamekalia hapo jamani kama siyo kuambikizana tu magonjwa loohCha kukaa unyama sana ila mzigo kama haushuki wote.....ujue ukichuchumaa kuna angle unaipata ya Gogo kutoka vizuri.
Kukaa unakula bata sana ukingia na simu unasahau kama upo toilet ila mzigo unatoka kimagumashi