Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

Mimi naona tupambane kwa uwezo wetu tu tusijilinganishe na mtu.

Kufikia karne ya 15 Marekani ilikuwa tayari imepiga hatua katika nyanja kadhaa kiuchumi,kijamii na kisiasa wakati huo mababu zetu wanavaa vibwaya na kuvuta kinyesi cha ng'ombe..

Kutoka karne ya 15 ambapo Marekani ilikuwa active mpk karne ya 21 ni miaka mia 6 hiyo na katika kipindi hicho mababu zetu wamepitia vipindi vigumu vya biashara za utumwa mara ghafla ukoloni huu hapa tunakuja kuachiwa huru mpaka sasa ni miaka 60 tu tangu tuanze kujitegemea..

Hivi mnaona ni sahihi kujilinganisha na watu ambao wameendelea tangu katne ya 15? Yaani wana miaka zaidi ya mia tano kwenye game!?...Hatuna laana balu mazingira yametuforce kuwa hivi

Nimesoma HGL nilisoma sehemu kuwa karne ya 15 Africa na Europe zilikuwa almost the same,niko tayari kukosolewa
 
Tanzania iko nyuma kimaendeleo kutokana na kuwa hatuna mipango ya maendeleo ya mda mrefu. Magufuli aliliona hili bahati mbaya viongozi wetu hawana agenda moja ya kuongoza kila mtu ana yake. Too bad CCM bado na kuwa madarakani miaka yote hii nayo haina agenda endelevu. Kila Raisi anakuja na ndoto zake. .
 
Vipi na zile nchi zinazotupa msaada ambazo tulikuwa nazo SAwa uchumi kabla ya UHURU.
Mjerumani katawala kipindi kifupi kuliko kipindi ambacho tumejitawala na akatufanyia maendeleo makubwa Sana asingefurushwa na Muingereza tungekuwa mbali sana
 
Upo sahihi yaani kuanzia karne ya 1 mpk kufikia ya 15 we were almost the same(lakini sio sawa exactly maana kuna vitu walituzidi vingi tu) kama nilivyoeleza hapo kuanzia karne ya 15 mpk uhuru kwa zaid ya miaka mia tano waafrica wamepitia majanga makubwa sana yaliyowarudisha nyuma wakati kwa miaka hiyo wenzetu wa mbele wapo active na wakawa wanazidi kuendelea kwenye nyanja zote..

Hitimisho langu likawa hatuwezi kuwa the same wakati kwa miaka mia tano tulikuwa dormant na wenzetu wakawa wanaendelea kujenga uchumi wao kwa muda huo..

Sisi waafrica hatuna hata miaka mia tangu nchi zetu zianze kupata uhuru kwa hiyo kujifananisha na watu wao na kujiota tuna laana ni unfair kabisa..
 
Ccm Katu haiwezi kukuletea maendeleo ikileta itaanguka.
Unafanywa uwe masikini Ili uwataliwe
 
Tanzania iko nyuma kimaendeleo kutokana na kuwa hatuna mipango ya maendeleo ya mda mrefu. Magufuli aliliona hili bahati mbaya viongozi wetu hawana agenda moja ya kuongoza kila mtu ana yake. Too bad CCM bado na kuwa madarakani miaka yote hii nayo haina agenda endelevu. Kila Raisi anakuja na ndoto zake. .
Na ww una ndoti gani kwa nchi yako?
 
Afrika inaweza kuendelea kama itanunua menejiment za kusimamia uchumi toka nje kama walivyofanya nchi za kiarabu na sio kuwategemea hawa watawala, wao uongozi ni ajira na sio wito.
Mtawala wa kiafrica huwa na akili akishatoka madarakani.
Wakati wa kampeni huwa malaika ahadi kedekede akishapata tu madaraka akili uenda likizo na urudia makosa yale Yale ya watangulizi wake.
 
Upo sahihi yaani kuanzia karne ya 1 mpk kufikia ya 15 we were almost the same(lakini sio sawa exactly maana kuna vitu walituzidi vingi tu) kama nilivyoeleza hapo kuanzia karne ya 15 mpk uhuru kwa zaid ya miaka mia tano waafrica wamepitia majanga makubwa sana yaliyowarudisha nyuma wakati kwa miaka hiyo wenzetu wa mbele wapo active na wakawa wanazidi kuendelea kwenye nyanja zote..

Hitimisho langu likawa hatuwezi kuwa the same wakati kwa miaka mia tano tulikuwa dormant na wenzetu wakawa wanaendelea kujenga uchumi wao kwa muda huo..

Sisi waafrica hatuna hata miaka mia tangu nchi zetu zianze kupata uhuru kwa hiyo kujifananisha na watu wao na kujiota tuna laana ni unfair kabisa..
Nimekuelewa sasa tuamke sasa
 
Afrika inaweza kuendelea kama itanunua menejiment za kusimamia uchumi toka nje kama walivyofanya nchi za kiarabu na sio kuwategemea hawa watawala, wao uongozi ni ajira na sio wito.
Mtawala wa kiafrica huwa na akili akishatoka madarakani.
Ni kweli
 
Vipi na zile nchi zinazotupa msaada ambazo tulikuwa nazo SAwa uchumi kabla ya UHURU.
Mjerumani katawala kipindi kifupi kuliko kipindi ambacho tumejitawala na akatufanyia maendeleo makubwa Sana asingefurushwa na Muingereza tungekuwa mbali sana
Kwa mfano nchi gani zinazotupa msaada kabla ya uhuru tulikuwa nazo sawa kiuchumi!?.

Mjerumani alifanya hayo unayoyaita maendelea kwa ajili tu ya kurahisisha shughuli zake ndani ya koloni..

Reli, barabara,madaraja yalijengwa maeneo ambayo kulikuwa na uzalishaji kwenye migodi na mashamban hili kurahisisha usafirishaji katika maeneo hayo
 
Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.

Kufika Ikulu naambiwa alimwaga machozi hatari maana wakati anafungwa jela alikokaa miaka zaidi ya 26 alipotoka alikuta maendeleo makubwa sana nchini kwake chini ya Makaburu. Akawa kama mshamba anashangaa shangaa tu maghorofa na mabarabara. Sasa akawaza kuwa kama Makaburu wameweza haya vipi Tanzania ambayo inajitawala chini ya Mwanajumuni wa Africa JK Nyerere.

Alichokikuta sasa, slums za Buguruni kwa Mnyamani, Malapa, Ilala, Posta ilikuwa ile aliyoiacha, ndio kisa cha kulia. Aliona Uhuru haujamkomboa Mtanzania.

Haya maneno sijayatunga, niliambiwa na mzee wangu aliyekuwa kiongozi mwandamizi kipindi hicho.

Sasa baada ya mimi kumaliza kidato cha sita nilienda USA nikatelekezwa New York na rafiki yangu wa high school. Nilikuja kuokolewa na Babu Sikare naarufu kama Albino Fulani (RIP)a mbaye pia nilisoma nae Dakawa High School na kukulia pamoja mitaa ya Oysterbay. Yeye akiishi Namanga flats za Tanesco na mimi nikiishi Chole.

Siku moja nikifanya mazoezi niliteguka mguu nikapiga simu ikaja ambulance mpaka hospital nikatibiwa nikapona hapo nilikuwa USA kumbuka. Baada ya kurudi nchini nilipitia msoto kwa miezi kadhaa, kuna siku niliumwa nikakosa hata Panadol, nikahitimisha kuwa tumerogwa au tuna laana.

Mnaompinga Lema mjitafakari, wenzetu wako mbali, mnapoendesha hizo crown zenu mnajiona maisha mmeyapatia.

Viongozi wetu bado wana kazi ya kututoa kwenye umasikini, tuko nyuma sana. Lema hakuyajua hayo maana alikuwa hajawahi kufika Duniani!

Tumetoka kwenye ukoloni wa mwendazake sasa ni muda sahihi wa kupigania maendeleo ya vitu bila kutekana au kuuana.
Huwa najiuliza kwanini watu wengi walioenda Marekani huwa wanarudi nchini wakiwa hawana kitu huku akili zao kama haziko sawa... wewe mdukuzi na Lemutuz huwa ni mifano hai ya karibu. Nina ndugu yangu alikuwa akija likizo anafikia hoteli ya kitalii five star. Hadi siku anarudi bongo hakuwa na kitu. Alifariki katika umaskini wa kutisha. Lema nae kwenda tu Canada amerudi kawehuka..!! Inasikitisha sana. Matatizo ya Afrika hayawezi kutatuliwa kwa kutumia mbinu za mabeberu.

Hakuna haja ya kuwaponda bodaboda au VICOBA kama vile ndo mbinu ya kutatua tatizo. Tulicho nacho mkononi ndo kitatuvusha na sio vinginevyo. Kama bodaboda imeonyesha matokeo mazuri basi tuboreshe badala ya kuropoka kwamba ni laana. VICOBA navyo viwekewe utaratibu mzuri kila kitu kitakuwa sawa.
 
Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.

Kufika Ikulu naambiwa alimwaga machozi hatari maana wakati anafungwa jela alikokaa miaka zaidi ya 26 alipotoka alikuta maendeleo makubwa sana nchini kwake chini ya Makaburu. Akawa kama mshamba anashangaa shangaa tu maghorofa na mabarabara. Sasa akawaza kuwa kama Makaburu wameweza haya vipi Tanzania ambayo inajitawala chini ya Mwanajumuni wa Africa JK Nyerere.

Alichokikuta sasa, slums za Buguruni kwa Mnyamani, Malapa, Ilala, Posta ilikuwa ile aliyoiacha, ndio kisa cha kulia. Aliona Uhuru haujamkomboa Mtanzania.

Haya maneno sijayatunga, niliambiwa na mzee wangu aliyekuwa kiongozi mwandamizi kipindi hicho.

Sasa baada ya mimi kumaliza kidato cha sita nilienda USA nikatelekezwa New York na rafiki yangu wa high school. Nilikuja kuokolewa na Babu Sikare naarufu kama Albino Fulani (RIP)a mbaye pia nilisoma nae Dakawa High School na kukulia pamoja mitaa ya Oysterbay. Yeye akiishi Namanga flats za Tanesco na mimi nikiishi Chole.

Siku moja nikifanya mazoezi niliteguka mguu nikapiga simu ikaja ambulance mpaka hospital nikatibiwa nikapona hapo nilikuwa USA kumbuka. Baada ya kurudi nchini nilipitia msoto kwa miezi kadhaa, kuna siku niliumwa nikakosa hata Panadol, nikahitimisha kuwa tumerogwa au tuna laana.

Mnaompinga Lema mjitafakari, wenzetu wako mbali, mnapoendesha hizo crown zenu mnajiona maisha mmeyapatia.

Viongozi wetu bado wana kazi ya kututoa kwenye umasikini, tuko nyuma sana. Lema hakuyajua hayo maana alikuwa hajawahi kufika Duniani!

Tumetoka kwenye ukoloni wa mwendazake sasa ni muda sahihi wa kupigania maendeleo ya vitu bila kutekana au kuuana.
Kentucky UShttps://photos.app.goo.gl/zKtHMHfYNNN1cZP37
 
Back
Top Bottom