Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

Naona unaitazama Tanzania ukiwa mtaroni.
Panda mlima wa mafanikio kwa kufanya kazi, na utaona jinsi Tanzania ilivyo nzuri kuliko ughaibuni.

Hata uwe na mafanikio vipi, bado Tanzania sio nzuri kama ughaibuni. Ongea tu kizalendo, lakini ukweli ni kuwa huku tunaishi tu kwakuwa ni kwetu lakini sio kabisa.
 
Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.

Kufika Ikulu naambiwa alimwaga machozi hatari maana wakati anafungwa jela alikokaa miaka zaidi ya 26 alipotoka alikuta maendeleo makubwa sana nchini kwake chini ya Makaburu. Akawa kama mshamba anashangaa shangaa tu maghorofa na mabarabara. Sasa akawaza kuwa kama Makaburu wameweza haya vipi Tanzania ambayo inajitawala chini ya Mwanajumuni wa Africa JK Nyerere.

Alichokikuta sasa, slums za Buguruni kwa Mnyamani, Malapa, Ilala, Posta ilikuwa ile aliyoiacha, ndio kisa cha kulia. Aliona Uhuru haujamkomboa Mtanzania.

Haya maneno sijayatunga, niliambiwa na mzee wangu aliyekuwa kiongozi mwandamizi kipindi hicho.

Sasa baada ya mimi kumaliza kidato cha sita nilienda USA nikatelekezwa New York na rafiki yangu wa high school. Nilikuja kuokolewa na Babu Sikare naarufu kama Albino Fulani (RIP)a mbaye pia nilisoma nae Dakawa High School na kukulia pamoja mitaa ya Oysterbay. Yeye akiishi Namanga flats za Tanesco na mimi nikiishi Chole.

Siku moja nikifanya mazoezi niliteguka mguu nikapiga simu ikaja ambulance mpaka hospital nikatibiwa nikapona hapo nilikuwa USA kumbuka. Baada ya kurudi nchini nilipitia msoto kwa miezi kadhaa, kuna siku niliumwa nikakosa hata Panadol, nikahitimisha kuwa tumerogwa au tuna laana.

Mnaompinga Lema mjitafakari, wenzetu wako mbali, mnapoendesha hizo crown zenu mnajiona maisha mmeyapatia.

Viongozi wetu bado wana kazi ya kututoa kwenye umasikini, tuko nyuma sana. Lema hakuyajua hayo maana alikuwa hajawahi kufika Duniani!

ni muda sahihi wa kupigania maendeleo ya vitu bila kutekana au kuuana.
Una akili kubwa laki machawa yatakupinga. Tz kuna umasikini na ujinga mwingi sana. Wanasiasa walioshika vyeo wanatumia umasikini na ujinga wa baadhi yetu kuendelea kufaidi. Mwaka huu nilienda kulima katika kitongoji kimoja maeneo yenye rutuba siyataji sasa.
Jinsi ardhi ilivo nzuri na mvua za kuaminika nilasema hiyo hali ni madini zaidi ya tanzanite maana ukiwa na nguvu na maarifa ukalima eka 5 tayari inaweza kuwa chanzo cha kuaga umasikini.
Ajabu, namna watu wavolima haaa ni kama kipindi cha ujima sisemi sana hapo.
Niligundua pia jamii ile imejaa watu amba hawajui kusoma kabisa na maisha yao ni ushirikina mtupu.
Mvua ikichelewa wanaamini imekamatwa na mtu na kama kuna wanayemhisi atakoma! Wengi wanategemea waganga kuwapa dawa ili wapate mavuno.
Nimeamua kukaa kule natumia mbinu za kisasa eneo dogo lakini mavuno mengi, wamenisema sana lakini wapo walioona mwanga na watabadilika.
Tz tuko nyuma na Lema amesema ukweli mtupu hata aina ya kilimo nilichosema unaweza kuita ni cha laana sababu hakijamkomboa huyo mkulima. Mwezi july mwaka jana hao wakulima waliuza debe la mahindi 10,000 nenda kule sasa hivi wanahaha kutafuta debe la mahindi kwa 25 ,000 ,hiyo si laana???
Nyie chawa mnaombeza Lema amkeni. Wanasiasa wasaidieni wananchi kuondokana na ujinga na umasikini na msitumie hayo kujinufaisha. Mmesiaaaa!
 
Jukwaani mtoangea nini zaidi ya kujivunia umasikini na kujifanya mko bega kwa bega na masikini? Inawezekana uwasilishaji wa Lema usiwe wa kupendeza kutokana na jamii iliyoridhika na umasikini, lakini kiukweli mnafaidika na umasikini uliopo huku nyie mkila na kusaza na familia zenu.
Tuna vingi vya kuongea na kuonesha.

Lema miaka 15 hana Cha kuonesha Hadi Gambo aliyekaa miaka 5 ataonesha Barabara na Stand mpya
 
Mimi naona tupambane kwa uwezo wetu tu tusijilinganishe na mtu.
Inakuwaje lakini sisi tulipata uhuru kipindi kimoja na nchi kama Malaysia lakini leo hii wenzetu wako mbali sana kiuchumu ukilinganisha na sisi.

Na wao walikuwa katika kiwango cha umasikini kama cha kwetu.
 
Una akili kubwa laki machawa yatakupinga. Tz kuna umasikini na ujinga mwingi sana. Wanasiasa walioshika vyeo wanatumia umasikini na ujinga wa baadhi yetu kuendelea kufaidi. Mwaka huu nilienda kulima katika kitongoji kimoja maeneo yenye rutuba siyataji sasa.
Jinsi ardhi ilivo nzuri na mvua za kuaminika nilasema hiyo hali ni madini zaidi ya tanzanite maana ukiwa na nguvu na maarifa ukalima eka 5 tayari inaweza kuwa chanzo cha kuaga umasikini.
Ajabu, namna watu wavolima haaa ni kama kipindi cha ujima sisemi sana hapo.
Niligundua pia jamii ile imejaa watu amba hawajui kusoma kabisa na maisha yao ni ushirikina mtupu.
Mvua ikichelewa wanaamini imekamatwa na mtu na kama kuna wanayemhisi atakoma! Wengi wanategemea waganga kuwapa dawa ili wapate mavuno.
Nimeamua kukaa kule natumia mbinu za kisasa eneo dogo lakini mavuno mengi, wamenisema sana lakini wapo walioona mwanga na watabadilika.
Tz tuko nyuma na Lema amesema ukweli mtupu hata aina ya kilimo nilichosema unaweza kuita ni cha laana sababu hakijamkomboa huyo mkulima. Mwezi july mwaka jana hao wakulima waliuza debe la mahindi 10,000 nenda kule sasa hivi wanahaha kutafuta debe la mahindi kwa 25 ,000 ,hiyo si laana???
Nyie chawa mnaombeza Lema amkeni. Wanasiasa wasaidieni wananchi kuondokana na ujinga na umasikini na msitumie hayo kujinufaisha. Mmesiaaaa!
Ingekuwa kulima ni rahisi hivyo ungekuta wakulima wote ni matajiri

Mdomo Kila mtu anao,Leo hii Singida wanalalamika alizeti hazinunuliki
 
Hata uwe na mafanikio vipi, bado Tanzania sio nzuri kama ughaibuni. Ongea tu kizalendo, lakini ukweli ni kuwa huku tunaishi tu kwakuwa ni kwetu lakini sio kabisa.
Kuishi katikati ya jamii masikini isiyojitambua huwezi Kusema unafuraha! Nchi hii mfano hapa Dar utakutana na mtu anajisifu nakaa kigamboni au mbezi lakini eneo kubwa la Dar ni slam! Umasikini bila kuukataa kimwili na kiroho bado sana! Kwa ujumla tunaishi tu lakini bado sana!
 
Mimi naona tupambane kwa uwezo wetu tu tusijilinganishe na mtu.

Kufikia karne ya 15 Marekani ilikuwa tayari imepiga hatua katika nyanja kadhaa kiuchumi,kijamii na kisiasa wakati huo mababu zetu wanavaa vibwaya na kuvuta kinyesi cha ng'ombe..

Kutoka karne ya 15 ambapo Marekani ilikuwa active mpk karne ya 21 ni miaka mia 6 hiyo na katika kipindi hicho mababu zetu wamepitia vipindi vigumu vya biashara za utumwa mara ghafla ukoloni huu hapa tunakuja kuachiwa huru mpaka sasa ni miaka 60 tu tangu tuanze kujitegemea..

Hivi mnaona ni sahihi kujilinganisha na watu ambao wameendelea tangu katne ya 15? Yaani wana miaka zaidi ya mia tano kwenye game!?...Hatuna laana balu mazingira yametuforce kuwa hivi
Unajua kua 1961 uchumi wa China ulikua sawa na wa Tanzania??
 
Tuna vingi vya kuongea na kuonesha.

Lema miaka 15 hana Cha kuonesha Hadi Gambo aliyekaa miaka 5 ataonesha Barabara na Stand mpya

Arusha kila kitu kilikuwepo kabla ya Lema, na vimeendelea kuwepo akiwa madarakani hadi sasa. Arusha sio kama huko vijijini kwenu ambapo mbunge anadai umeme na maji ya bomba.

Arusha hayo maendeleo yapo hata kama hukutakuwa na mbunge wala rais ndani ya nchi hii. Kwahiyo kama ulitegemea utaleta propaganda mfu kuhusu Gambo sijui nini, ukatafute wenye akili ndogo kama ww.
 
Kuishi katikati ya jamii masikini isiyojitambua huwezi Kusema unafuraha! Nchi hii mfano hapa Dar utakutana na mtu anajisifu nakaa kigamboni au mbezi lakini eneo kubwa la Dar ni slam! Umasikini bila kuukataa kimwili na kiroho bado sana! Kwa ujumla tunaishi tu lakini bado sana!

Kabisa boss, ukifika mahali ukaona Chemba za choo zinavuja na hakuna anayejali, uje hapo umasikini ndio sifa kuu.
 
Una akili kubwa laki machawa yatakupinga. Tz kuna umasikini na ujinga mwingi sana. Wanasiasa walioshika vyeo wanatumia umasikini na ujinga wa baadhi yetu kuendelea kufaidi. Mwaka huu nilienda kulima katika kitongoji kimoja maeneo yenye rutuba siyataji sasa.
Jinsi ardhi ilivo nzuri na mvua za kuaminika nilasema hiyo hali ni madini zaidi ya tanzanite maana ukiwa na nguvu na maarifa ukalima eka 5 tayari inaweza kuwa chanzo cha kuaga umasikini.
Ajabu, namna watu wavolima haaa ni kama kipindi cha ujima sisemi sana hapo.
Niligundua pia jamii ile imejaa watu amba hawajui kusoma kabisa na maisha yao ni ushirikina mtupu.
Mvua ikichelewa wanaamini imekamatwa na mtu na kama kuna wanayemhisi atakoma! Wengi wanategemea waganga kuwapa dawa ili wapate mavuno.
Nimeamua kukaa kule natumia mbinu za kisasa eneo dogo lakini mavuno mengi, wamenisema sana lakini wapo walioona mwanga na watabadilika.
Tz tuko nyuma na Lema amesema ukweli mtupu hata aina ya kilimo nilichosema unaweza kuita ni cha laana sababu hakijamkomboa huyo mkulima. Mwezi july mwaka jana hao wakulima waliuza debe la mahindi 10,000 nenda kule sasa hivi wanahaha kutafuta debe la mahindi kwa 25 ,000 ,hiyo si laana???
Nyie chawa mnaombeza Lema amkeni. Wanasiasa wasaidieni wananchi kuondokana na ujinga na umasikini na msitumie hayo kujinufaisha. Mmesiaaaa!
Yaani wewe ni mimi niko huku mkoa fulani nina eneo nimelima bustani za mboga ninapoishi nawauzia majirani nilowakuta hapa miaka yote hawajawahi kujilimia hata mchicha,sasa nashangaa ardhi wanayo visima vya maji vipo tatizo ni nini?
 
Inasikitisha sana, wakoloni weusi wameliharibu bara hili sana.
UHURU umeshindwa kumkomboa mwafrika. Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote.
Maisha ya waafrika yamekuwa duni sana baada ya UHURU.
 
Miaka ya 1960 wakati tunapata uhuru tulikuwa tunakaribiana kimaendeleo na Korea Kusini, Vietnam, Malaysia na Singapore.
Mimi naona tupambane kwa uwezo wetu tu tusijilinganishe na mtu.

Kufikia karne ya 15 Marekani ilikuwa tayari imepiga hatua katika nyanja kadhaa kiuchumi,kijamii na kisiasa wakati huo mababu zetu wanavaa vibwaya na kuvuta kinyesi cha ng'ombe..

Kutoka karne ya 15 ambapo Marekani ilikuwa active mpk karne ya 21 ni miaka mia 6 hiyo na katika kipindi hicho mababu zetu wamepitia vipindi vigumu vya biashara za utumwa mara ghafla ukoloni huu hapa tunakuja kuachiwa huru mpaka sasa ni miaka 60 tu tangu tuanze kujitegemea..

Hivi mnaona ni sahihi kujilinganisha na watu ambao wameendelea tangu katne ya 15? Yaani wana miaka zaidi ya mia tano kwenye game!?...Hatuna laana balu mazingira yametuforce kuwa hivi
 
Arusha kila kitu kilikuwepo kabla ya Lema, na vimeendelea kuwepo akiwa madarakani hadi sasa. Arusha sio kama huko vijijini kwenu ambapo mbunge anadai umeme na maji ya bomba.

Arusha hayo maendeleo yapo hata kama hukutakuwa na mbunge wala rais ndani ya nchi hii. Kwahiyo kama ulitegemea utaleta propaganda mfu kuhusu Gambo sijui nini, ukatafute wenye akili ndogo kama ww.
We taahira nini,Kila kitu kilikuwepo Kuna stand na Barabara za mitaani hapo?

Maji mlikuwa nayo nyie pimbi? Hivyo vyote vimefanyika awamu hii ya Gambo
 
Back
Top Bottom