TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Ukiangalia mimi sijabase sana kwenye point ya kutawaliwa maana najua hadi Uingereza imetawaliwa pia,Hoja yangu imebase hapo kwenye biashara ya utumwa ambayo kwa muda wa miaka zaidi ya 300 waafrica tuliharibiwa mfumo wetu wa maisha kwa kuwindwa kama digidgi katika jamii zetu..Nchi kama Sweden, Finland, Norway,China,India.
Kutawaliwa sio kisingizio cha kuwa masikini, USA,China,India, Uingereza zimeshawahi tawaliwa.
Mikoa yote mikubwa imejengwa imepangiliwa na wao chek mji wa Arusha,Dar, MWANZA,Mbeya, Ruvuma, Dodoma nk sisi hata tu kupanga miji hatuwezi.
Miundombinu inafata watu leo ni tabu ukitaka kujenga barabara ni lazima ulipe fidia watu.
Kwanini miji hata huko maporini wasipeleke miundombinu then watu ndio wafate miundombinu.
Ni kweli Sweden,Finland na nyinginezo zimetawaliwa na pia USA,china,India zimetawaliwa pia lakini ukoloni wa maeneo hayo sio kama ule uliokuwa Africa,kumbuka tumetoka kwenye utumwa hatujakaa vizuri kujipanga tena watu wanakuja kututawala na kufuja rasilimali zetu wakati ambapo China,USA,India na nchi nyingine wananchi wao walikuwa wanafanya maendeleo katika nchi zao kutokana na kwamba nguvu kazi ya taifa iliendelea kubaki katika maeneo yao kujenga nchi..
Sasa sisi hata hatujaanza kujijenga anakuja mtu kukutawala na kucontrol kila kitu..
Wakati sisi tunataabika kwenye dhahama ya utumwa China walikuwa na empire kubwa sana zilizokuwa tayari zimejijenga na kufanya mapinduzi ya viwanda katika maeneo yao,India hivyohivyo,Ukoloni uliokuwepo USA pia ni tofaut na wa huku kwetu
Nilisema hapa suala kubwa ni uongozi mbovu tulionao tukiweza hapa tu basi tumepiga hatuaMalaysia ,Singapore zilikuwa sawa tu na sisi,kilimo kimewatoa kwenye umasikini sisi tuna mabonde maji ya mito yanaishia baharini
Kuwa dormant kulikosababishw na external interference hasa karne ya 15 ni sababu ambayo hatutakiwi kuikwepa,point zako nyingne zote upo sahihi na nakubaliana nazoKuwa dormant siwe kigezo kilicho tufanya tuwe nyuma,issue je china haikutawaliwa na Japan?,kumbe hapa tatizo ni kwamba Africa muda wake wa kujitawala ulikuwa Bado haujafika,hatuna vision katika mataifa yetu zaidi kila kitu tunatanguliza siasa na matumbo yetu katika issue kubwa za kitaifa,nakumbuka SA katika zama za makaburu ilifikia hatua ya kuanza kutengeneza siraha za nyuklia, assume baada ya muafrika kuchukua madaraka SA sio SA Ile ya mkabulu, Africa vinatutesa vitu vitatu;
1.Ubinafsi(HKM et al,2020)
2.Chuki(HKM et al,2022)
3.Unafiki(HKM et al,2019)
Afrika hasa chini ya jangwa la Sahara tukiondoa SA,ili tuweze kupiga hatua kubwa tunapaswa kuviondoa hivyo vitu hapo juu lakini Kwa nature yetu hiki kitu hakiwezekani ,muda wetu wa kujitawala ulikuwa Bado haujafika
Suala kubwa ni nature ya uongozi tuliobahatika kuwa nao katika nchi zetu,viongozi wengi ni walafi sio visionary hawapo commited hawawrzi kujali shida tulizokuwa nazo km nchi hili ndilo tatzo kubwaInakuwaje lakini sisi tulipata uhuru kipindi kimoja na nchi kama Malaysia lakini leo hii wenzetu wako mbali sana kiuchumu ukilinganisha na sisi.
Na wao walikuwa katika kiwango cha umasikini kama cha kwetu.
Sio kweli hizi ni sayings tu za kujifariji,china mapinduzi ya viwanda wamefanya karne ya 18 huko kipindi ambacho sisi bado hatujielewi kbsUnajua kua 1961 uchumi wa China ulikua sawa na wa Tanzania??