Mbo Mpenza
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 445
- 1,114
Hakuwa na marekani Karne ya 15 labda kuanzia ya 16(1770's)Mimi naona tupambane kwa uwezo wetu tu tusijilinganishe na mtu.
Kufikia karne ya 15 Marekani ilikuwa tayari imepiga hatua katika nyanja kadhaa kiuchumi,kijamii na kisiasa wakati huo mababu zetu wanavaa vibwaya na kuvuta kinyesi cha ng'ombe..
Kutoka karne ya 15 ambapo Marekani ilikuwa active mpk karne ya 21 ni miaka mia 6 hiyo na katika kipindi hicho mababu zetu wamepitia vipindi vigumu vya biashara za utumwa mara ghafla ukoloni huu hapa tunakuja kuachiwa huru mpaka sasa ni miaka 60 tu tangu tuanze kujitegemea..
Hivi mnaona ni sahihi kujilinganisha na watu ambao wameendelea tangu katne ya 15? Yaani wana miaka zaidi ya mia tano kwenye game!?...Hatuna laana balu mazingira yametuforce kuwa hivi
Labda kama unataka kupigilia msumari hoja Yako lakini Ina chembe za fallacy.