Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Nimewahi kutumia laki 3,

Nakumbuka siku hyo tulipanga na demu tukale bata,ila akachagua sehemu tutakayo enda,akanambia atatangulia ili nimkute huko,Mimi nikaandaa laki coz nilijua tutakuwa wawili,Eee bwanaee ile nafika tu nikakuta yuko na best zake wanne,nilitamani kukimbia sema ndo hivo walikuwa washaniona,Ikabidi niende hvo hvo ila kiunyonge,

Nilivo fika kwenye meza nikahisi kichwa kupata moto,savanna ziko sita pale mezani,Ikabidi me niagize nyama tu,sasa kadri time ilivyo kuwa inaenda wakawa wana agiza vinywaji mpaka ambavyo sijawahi ona,cha ajabu mademu wako normal ile mbaya,nililetewa bill mida ya saa6 ikawa inasoma 340000,Ikabidi nikadroo tu ila hamu na yule demu ilikuwa ishapotea cz sikufikiria atakuwa wa aina ile.

Sikuwa na hamu tena ya kuchukua room ilibidi twende parking tu nikawapakiza kwenye gari mana cku hiyo ilibidi niazime na ndinga ili kujimwambafai,ile nimewafikisha hom wakat narud hom nikawa nawaza hela yangu tu,yan nilipatwa na hasira mpaka nikawa Nahisi roho yangu inakata mana katika life Langu sikuwahi kupoteza Hata 50k kwa manzi,

Wahenga bwana hawakukosea kusema jasho la mtu halipotei bure,kesho yake wale mademu wakaanza shobo za text kila muda,nikasema hawa wote lazima walipe jasho Langu,Hao mademu nimewachapa ndani ya mwaka mzima huku hawajuani,Wame kuja kujuana ndo nakaribia kwenda chuo kuendeleza maujuzi,walitukana mpaka basi nikawa siwajibu tena,ila saivi kuna wawili tena kati yao naona wanarudisha shobo tena.
Tukio kama hili lilishanitokea 2011 kuna demu Fulani nilimtokea tukapanga tuonane dah sitasahau nimejikoki mfukoni Nina 25000 demu kaja na rafiki zake wawili aseee walipiga kitmoto na vinywaji bili ilisoma 58000 kilichoniokoa ni sehemu wananijua niwawaidi wanipe siku3 ntaleta ilopelea kibaya zaidi ata demu mwenyew sikuwahi baatika kumgonga
 
Mimi nipo Mwanza Magu, nilienda pale UDOM kwenye semina nikakutana na mtoto wa kimeru tuka badilishana namba, nikamuomba aje hotelini niliko fikia hakuweza kuja, mwisho wa siku niliondoka bila kumla. Juzi kati hapa wakiwa wamefunga chuo ndo kanitafuta nikamwambia aje Mwanza, kakubali kaja zake na Isamilo katinga Mwanza mjini saa kumi na mbili na nusu, nikamwambia achukue [emoji596] aje Mangu garama ya tax ni 90000+50000 niliyo tuma kwa ajili ya Bus inakua 140000+na yakurudi 140000+ posho ya kujikim huko mbele ya safari, 200000. Siwezi kuandika kila kitu, hapa na ame kaa hapa wiki moja tuka anza kula viwaja mbali mbali mara Serengeti mbugani tukaja Mwanza mjini , kifupi ni zaidi ya mahari.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
mhn..tinsela au??
 
Kifupi tu wewe ni boya

Mwanafunzi wa chuo unamchukulia taxii kutoka mjini mpaka magu

Kwanini asipande zile costa au hiace tu
 
Mim gharama kubwa nilowahi tumia kwa mwanamke ilikuwa 2015 maeneo ya kibamba pana mahali panaitwa bonagi nilienda na manzi fulan chumba 50000 na gharama kadhaaa za msosi na vinywaji ilikata kama 180000 hata mim siku enjoy mana nilipiga bao moja bada ya hapo Mashine ikagoma kukojoa iliniuma sana
siri ya kambi hii mzee baba.
 
na mm nimeshangaa sana aisee.magu mwanza tax mkuu,na dem mwenywe wa chuo,,huyo dem atakuwa mweupe si unajua Mwanza tena.
Kifupi tu wewe ni boya

Mwanafunzi wa chuo unamchukulia taxii kutoka mjini mpaka magu

Kwanini asipande zile costa au hiace tu
 
na mm nimeshangaa sana aisee.magu mwanza tax mkuu,na dem mwenywe wa chuo,,huyo dem atakuwa mweupe si unajua Mwanza tena.

Mkuu hata kama ni mweupe jamaa alizingua na gharama alijitakia mwenyewe,

Huyo alikuwa anapewa nauli ya kuja mwanza,

Akifika mwanza unakwenda kumpokea kwsho mnaweza kulala town siku hiyo,

Kesho yake mnakwenda home kwa zile gari zinazokwenda musoma na sirali

Hapo angetumia pesa kidogo tu tena ya kawaida sana

Matumizi mengine sawa ila hiyo 90000 ya taxiii aiseee wakati nauli pale hata 5000 sidhani kama inafika
 
Iko siku nakwambia. Iko siku utajua wivu sio dawa.

Ngoja kwanza ninyoe hizi nywele za chini. Ni siku nyingi sana hujaninyoa. Najiuliza basi nabaki nikicheka tu nhi nhi nhi

Aahahahahahha Baabuuuuu mie na weye tenaaaa, wivu ni kidonda nikikipaka asali ya tabora shurti kipone na hapo nakushushia na huba la Tanga balada ya Grants nakuwekea Bohaaa ahahahahhahaa utajikuta tuu unanitizama kwa jicho la Mahaba lenye codes zote za kuelekea uwanja wa sarakasi aahahhahahahaaa.

Usinyoe banaaa unajinyoaje na mie nipooo, hujui ile kozi ulinipeleka Malaysia ya kunyoa vuzi kwa kutumia ulimi... ?? umesahau? sasa kwanini upate shida ya kuinamisha shingo Babu na weweee ahahahahahaa

Unajiuliza nini Babuu ning'ate basii nikujibuu kimahaba huku nikikupetipeti upara wako aahahahahahahhaaa

Matata K.
 
Mimi actually kuna Demu moja nilikua nakula sasa ikatokea bahati mbaya amenasa ujauzit aliponiambia sikuamini, ikabidi nimpeleke regency kupima [emoji23][emoji23] nilishika adabu yangu cost niliotumia
 
Mimi mwanaume akinipa pesa baada ya kupigwa ukuni sipogo comfortable kabisa.

Naona kama ananilipa malipo ya service, yaani maana yake nilikua najiuza kwake.

Sipokeagi. Bora unipe another day nikiwa fresh minded.
Hata 1.5m mama debora??
 
NOOOO JAMAA ALIKUFAIDI SANA TENA ALIACHIA NYINGI SANA INAONYESHA MAANA ALIKUWA HAFIKIRII GARAMA

Oooh kumbeee, nilishasahau uzee huu looh.

Asante kunikumbusha uko sawa kabisa.

Matata K.
 
Mtoto wa kiume gharamika weee

Chukua room 5 star hotel

Unatulia ndani unakula AC machakula mazaga zaga yoteee

unamuuliza "umefika wapi beib"

akanijibu "sorrie beib nimepata dharura huwezi amini mume wangu tufanye siku ingne,soriie hun"

Aseeee nilishikwa na ganzi ikawa ndio mara yangu ya kwanza kujilaza 5star hotel peke yangu

Hadi leo sitosahau lile tukio gumu na la kuumiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom