Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Tukio kama hili lilishanitokea 2011 kuna demu Fulani nilimtokea tukapanga tuonane dah sitasahau nimejikoki mfukoni Nina 25000 demu kaja na rafiki zake wawili aseee walipiga kitmoto na vinywaji bili ilisoma 58000 kilichoniokoa ni sehemu wananijua niwawaidi wanipe siku3 ntaleta ilopelea kibaya zaidi ata demu mwenyew sikuwahi baatika kumgonga
Pole sana....Alafu tabia ya baadhi ya wadada kwenda kwenye date na marafiki bila kupeana taarifa sijui itakoma lini maana ni kuongezeana gharama zisizo na msingi.
 
Mweeeeeh!![emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] Aibu nimeona mimi.
 
Nilienda moro kula tunda kwenda na kurudi nauli 10k lodge 15k msosi 6k.....
Nilikaa siku mbili.... Gharama kubwa ni 1. kuwadanganya wazazi nipo mjini hapa hapa...
2. Alikua rafiki wa demu wangu.
3. Alikua X wa bro angu.
4. 50k yangu.
 
Sikuwa na uwezo wa kuvipata ila kuna mtu akaniambia atavipata kwa shilingi elfu 30 tasilimu... Wakati huo hiyo pesa ilikuwa kubwa sana
Nikampelekea demu akampelekea babaake naye akapeleka kwa mganga akaaguliwa akapona nikapewa papuchi
Siku moja yule aliyeniuzia akaropoka kuwa yai lilikuwa la kanga na mafuta yalikuwa ya kondoo
[emoji23][emoji23]mshana hakuna ktu unafanya ambacho hakihusian na uganga yaan mambo yako ni uganga na ulozi tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa bro nayo kali japo haiipiti ile ya kugegeda mochwari na ile yule manz alijifanya mwamba wa kula na kunywa vya watu eti kuna siku ulimuwekea joka feki akazimia kuja kushtuka anapigwa penalty ya tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
One night stand huwa haipangwi we Mnyamwezi mwenzangu!!
Sasa we ume apply mpaka visa na kufanya booking ya ndege,hotel,etc...!!!

Mwaadeela gawizaa bhaa Ngoshaa iiiggghhh, ulihooo..!!??? aahahahahahaaa

Basi ilikuwa one month stand aahahahahhaahahhaa maana baada ya tukio kuisha kila mtu akaendelea na ustaarabu wake, hakuna kuulizana wala kujuliana hali wala kutafutana eehehehehehee

Matata K.
 
11,800'000? U gotta be kiding men. Labda ticket ya kwenda Kuzumu.

Am not kidding man, am a Senior Cubic Old Granny K' Matata.

There was none befoe I was born and there will be none exactly like me once I kick off the bucket.... The cost I incurred in my Love Affairs have a special budget cause Mahaba is my first priority in this rendervous world.

And what's your top priority in life that can cost atleast1/8 of your life yound man.....

Ever Smiling Kasie.
 
Nimewahi kutumia 70$ kwa siku ikiwa ni gharama ya chumba pamoja na msosi. Nilikaa na yule mrembo siku 2 then nikarudi zangu mkoani.

Kusema kweli hela yangu nilijutia lakini nakiri yule mrembo alistahili matumizi yale, alikuwa ananipa kila nilipotaka bila kuchoka alafu bebi ananukia marashi hakuna mfano 😋😋😍

Ngoja niuze Korosho zangu nirudi tena mjini, kwani dollar kitu gani?😛😛
 
The cost I incurred in my Love Affairs have a special budget cause Mahaba is my first priority in this rendervous world.


Ever Smiling Kasie.
Nadhani unaweza kuwa my very perfect combo....Mimi ni yule niliyoletwa na upepo wa kisulisuli kwa ajili yako😍😍😋😋
 
Mwaadeela gawizaa bhaa Ngoshaa iiiggghhh, ulihooo..!!??? aahahahahahaaa

Basi ilikuwa one month stand aahahahahhaahahhaa maana baada ya tukio kuisha kila mtu akaendelea na ustaarabu wake, hakuna kuulizana wala kujuliana hali wala kutafutana eehehehehehee

Matata K.
Umenichekesha sana asubuhi yote hii. We kiboko mgegedo mpaka unaukatia visa?!!
Itabidi na Mimi tupange yetu sasa. Haina visa wala ticket ya ndege wala meli. Uber tu inatosha.
 
Hivi mwanaume anaanzaje kupiga gharama za matumizi kwa mwanamke wake?
Kwani huwa wanagharamikia ngono au ni ile to show some love and affection. P
Mweeeeeh!![emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] Aibu nimeona mimi.
 
Back
Top Bottom