sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga
Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora huwa ni wa juu na bei huwa zimechangamka, mzigo kidogo tu lakini unapata guarantee, starehe gharama.
Wengi wakivuta siku ya kwanza watalia ni vipofu kumbe wamesahau kuwasha taa, hukimbia mawingu, hubeba toroli badala ya kusukuma, hutukana ovyo ovyo, n.k. hii ndio gharama ya kuigiza uchafu kichwani
Ukizoea sana kushabu tayari wewe kichwa panzi, unaweza kuwa kichaa kabisa
Wanaokula kushabu ni masikini wanaoshindwa kupata grade one aidha hawana pesa au hawana maarifa ya kujua viwango wao wanavuta ilimradi iwe bangi tu.
Usije kujidanganya kwamba bangi unayovuta hapa kwetu ni sawa ya wanayovuta huko Marekani, Jamaica, n.k. huko watu wanavuta bangi na sio uchafu ndio maana huji kusikia mtu kawehuka, sijui akili zimemtoka, ana ropoka ropoka, n.k. Kazi ipo huku ambako hata wakulima wa bangi kwenye uvunaji hawajui mbinu za kuvuna vizuri wao wanakurupuka tu, nae muuzaji anaenunua kwa wakulima hata hana elimu ya huu mmea yeye anauza tu ilimradi apate pesa, nao wanunuzi ndio wahanga wakubwa hawajui hata kama wanauziwa kushabu matokeo yake ndio haya mnayoyaona mtu akivuta bangi siku ya kwanza ha tofauti na mwehu, nadhani hata kina afande sele wanavuta kushabu wakijinadi kwamba wanavuta yenyewe matokeo yake ndio kuvua nguo kwenye steji na vituko vingine kibao ambavyo huwezi kuja kuvisikia huko nchi ambazo hawavuti kushabu.