View attachment 2068813
Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Ni kama mabaki ya kaya baada ya kutoa grade ya kwanza ile yenyewe, Inakuaga ina vimbegu na vijiti vingi mno... haina stimu, kelele nyingi, ukivuta utaishia kuumiza kichwa, kuwa mkali, n.k.
Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa sana, sana, sana hapa nchini. Ni nadra sana kukuta sehemu wanauza high grade
Wengi wakivuta siku ya kwanza watalia ni vipofu kumbe wamesahau kuwasha taa, hukimbia mawingu, hubeba toroli badala ya kusukuma, hutukana ovyo ovyo, n.k. hii ndio gharama ya kuigiza uchafu kichwani
Ukizoea sana kushabu tayari wewe kichwa panzi, unaweza kuwa kichaa kabisa
Wanaokula kushabu ni masikini wanaoshindwa kupata grade one aidha hawana pesa au hawana maarifa ya kujua viwango wao wanavuta ilimradi iwe bangi tu.
Ukiishi sehemu zenye bangi iliyo na kiwango hata muuzaji anaojua bidhaa anayouza, uta enjoy sana bangi