Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

Jifunze kunyonga mwenyewe ukizoea kutolewa kitu siku utavutishwa unga bila kujuaa na usizoee kugongea kitu kwa usiowajuaa
Nimejifunza sana lizra lazima itoboke nikaona nisilazimishe, kuhusu kuchanganyiwa madawa hiyo hainistui hata uniwekee unga mimi siwezi kupoteza network hasara utapata wewe...!!!
 
Utakuwa unazungumzia r.... bar kama sikosei. Ile kitu yao ni hatari unapokuwa unapiga huisikii subiri sasa zipite dakika 10 ndio utajua hujui
 
Naweza kukubaliana na wewe...

baadhi ya ma supplier sio, u feel nothing
 
Mwaka uliopita mara ya mwisho kula kayak ilikuwa mwezi wa nane. Ngoja tuone mwaka huu.
 
Tuagizie tunapata wapi high grade mkuu
 
Kuna ukweli kiasi fulani kwenye huu uzi maana juzi tu nimepigwa na kitu kizito. ila napinga unaposema bongo hakuna jani halisi itakua haujakutana na vitu wewe.
 
Kuna ukweli kiasi fulani kwenye huu uzi maana juzi tu nimepigwa na kitu kizito. ila napinga unaposema bongo hakuna jani halisi itakua haujakutana na vitu wewe.
 
Kuna ukweli kiasi fulani kwenye huu uzi maana juzi tu nimepigwa na kitu kizito. ila napinga unaposema bongo hakuna jani halisi itakua haujakutana na vitu wewe.
kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora huwa ni wa juu na bei huwa zimechangamka, mzigo kidogo tu lakini unapata guarantee, starehe gharama.

Pia umakini unahitajika sana kujua harufu, rangi, touch, n.k. lasivyo utauziwa kitu kimepigwa spike na sumu ya panya ama cannabiniols, utadhani chenyewe kumbe umepigwa.
 
Bangi bangi tu. Me majamaa zangu wangu wa mbezi wakivuta Sana skanka Ila sijaona jipya Zaid inaleta usingizi tu Tena ile ya purple ..Haina maajabu ya kushangaza ujanja TU wa watu
Nimeanza kuvuta bange mwaka 1999 ila nahisi ni hiyo( kushabu)
Ila nakumbuka siku moja mnamo mwaka 2011 nilikutana na jamaa mmoja kutoka South Africa tulikuwa tunapiga wote mishe za wizi wa mafuta ya transfomer
Jamaa alinipa bange flani ya kutoka kwao nilivuta kama puff tatu nikaona dunia yote imehama yaani kila kitu kiko kichwa chini miguu juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio sili ile bange sintokaa nisahau
 
Na me nakuambia mod akifuta huu uzi najitoa JF nahamia fethibuku
Hivi fethibuku bado ipo?!
Kilichonifanyaga niache kutumia fesibuku mtu unaposti picha yako halafu linakuja lijamaa bila aibu kisa linakufahamu linaishi kijijini kwenu sasa linakuja kukomenti pale kwenye picha uliyoposti linaandika "Wewe flani hivi una habari kwamba babako juzi alianguka chooni alikuwa amelewa ila hakuumia sana anaendelea vzur"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…