Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

Naomba connection ya grade one, maana dah hizi takataka tunazovuta nina kesi ya kutongoza mama mkwe
 
Na lile analovuta shemeji Rick Ross la grade One? Mbona simwelewi
 
Sawa lakini ikiwa genuine hata ukitumia karatasi uta enjoy tuu Kama unazungumzia Kiko ni kwa ajili ya kuweka kiasi kingi kuepuka usumbufu wa kunyonga Mara kwa mara na kumbuka kunyonga kunataka utalaam binafsi licha ya kuwa mvutaji kunyonga sijui.
Kumbe tuko wengi. Ila nasikia kuna machine ya kuroll.
 
Juzi nilikuwa namtafuta jamaa yangu mmoja hivi alikuwa amefikia lodge....katika kupitapita kwenye room za lodge nikasikia harufu ya bangi ikabidi nisogee nijue yaliyomo..ile kuchungulia tu nikacheki madada kama watano hivi wametandika godoro chini halafu wanavuta bangi..chumba kimejaa moshi balaa[emoji16][emoji16]....kwa hali hii mwanamke hata angeingiziwa chupa yeye anaona yote sawa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uvutaji wa bangi ni kosa linalokupeleka jela lakini nawaonea huruma watu wanaojiongezea matatizo kwa kuvuta uchafu

Binafsi nimeshashuhudia baadhi ya watu ninaowajua walioanza kuvuta bangi, kwa sasa baadhi yao madishi hayajakaa sawa, kisakolojia hawapo vizuri, wengine maisha yao yamekuwa magumu sana, wengine walikuwa wanafanya vizzuri darasani ila baada ya kuvuta mambo yakawa mabaya, n.k.

Uhalisia ni kwamba kuvuta bangi hapa nchini ni heri utafute starehe nyingine tu, watu wanapata mihemko ya kuanza ama kujaribu kuvuta bangi wakidhani wanavuta bangi lakini kitu wanauziwa mbuzi kwenye gunia tena mbaya zaidi hata hawajui wameuziwa mbuzi, wao watatumia bidhaa wakizani ni orijino.

Ni nadra sana, narudia tena,,,ni nadra sana kukuta sehemu hapa nchini wanauza bangi, sehemu nyingi sana utaikuta bangi ya jero ambayo ni kiwango cha chini sana hakina utofauti na makapi.

Madhara ya kuvuta hizi bangi kwa mara ya kwanza ni kwamba akili yako itabinuliwa, kwa hapa nchini ni kawaida sana kusikia fulani siku ya kwanza aliyovuta bangi alikuwa anakimbia mawingu, kuona nyau kama simba, kucheka kama kichaa, n.k ushahidi wa hizi simulizi ni nyingi sana na ushahidi tosha hapa kwetu watu huvuta uchafu. na sio kilevi.

Mtu anawza kuvuta hata mara 3 akakwambia hahisi kitu hapo ujue kauziwa uchafu unaoenda kupindua akili.

SIFA ZA BANGI KAMILI NI HIZI, NJE YA HAPO TAFUTA STAREHE NYINGINE AMA JICHANGE NAULI UENDE KUVUTA NJE.

Rangi - rangi yake huwa ina ukijani flani ulioiva ukiona bangi ni tofati na hapo hasa ikiwa imefifia sana au kugeuka kuwa brown achana nayo.

Iwe imevunwa na kutumika ndani ya mwezi - Baada ya kuivuna inabidi itumike ndani ya mwezi, Wengi huwa wanauziwa ambazo zilivunwa miezi hata mitatu iliyopita

Harufu - Kuna harufu ya kuijua bangi inayofaa kwa matumizi na ile ambayo haifai aidha ni mbichi, imekomaa kupita kiasi, imevunwa miezi mingi iliyopita n.k. kama huwezi kujua hizi harufu tafuta starehe nyinine.

Mnato - Bangi inayofaa kwa matumizi huwa ina nata nata, isiyofaa hainati

Ukavu - Bangi ikiwa kavu sana hio sio nzuri kwa matumizi tupa kule.

Kusagika - Bangi ambayo haifai huwa mekauka sana, ukiiminya kidogo tu inavunjika vunjika haraka kama nyasi kavu na inasagika kwa urahisi,

Mbegu + vijiti - Ukiona bangi ina vimbegu na vijiti vingi piga chini
Sasa ili kudhibiti ubora serikali siingeipitisha tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashadada Na Mawididi - by Tontofyo
 
Kuna jambo pengine hulifahamu au umesahau. Bangi yetu hapa ni biashara inayolipa mnoo, nyingi inayotumika hapa ni makapi kama ulivyosema baada ya kuigrade. Bangi kwa upande wa Kaskazini soko lake lipo Kenya Nairobi na upande wa Kusini Nyandani liko Zambia na Malawi. Mzigo wote unasafirishwa kwenda Ulaya
 
[emoji3][emoji3] otesha mjani nyumbani kwako hata miche sita !! Unachuma majani yako mwenyewe kwa kuyakadiria kabla hayajakua sana [emoji3] unakula mjani safi bila bugudha !! Tatizo huku kwetu bongo tunakula mjani kwa sifa na kutaka kujisahaulisha matatizo !!
 
[emoji3][emoji3] otesha mjani nyumbani kwako hata miche sita !! Unachuma majani yako mwenyewe kwa kuyakadiria kabla hayajakua sana [emoji3] unakula mjani safi bila bugudha !! Tatizo huku kwetu bongo tunakula mjani kwa sifa na kutaka kujisahaulisha matatizo !!
Kuna wakati nipo mbeya niliotesha mjani ulichipua balaa, bi mkubwa akauona akauliza hiki ninii??? Nikajibu sijuii kesho yake sikuuona sijui alijua akaun'goa...!!!
 
Kuna

Mkuu kuna Bangi ukivuta stiki moja tuu unapata stata swafii[emoji16] hizo za kuvuta sana utaishia kuchoka mwili na hata njaa na kuumwa na kichwa
Bangi ikikuumiza kichwa hiyo ni dalili mbaya kwako, achana nayo!

Ganja kama Ganja yenyewe ni pain killer!!
 
Back
Top Bottom