Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

Kwahiyo kutoa sio asili yao???
ndio maana hata kuoa lazima mwanaume atoe kitu kwao namke kisha amtafutie pa kuishi chakula mavazi matibabu hapo anae toa ni mwanaume tu wala uwezi sikia mwanaume akilalama kwa sababu ni asili yake kutoa mwanamke akitoa tu analalamika sababu sio asili yake kutoa
 
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…