Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen..
Huyu bwana mdogo mwanzo tulikuwa na matarajio naye makubwa sana
Lakini siku zinavyozidi kwenda kibabage amegoma kuwa modern full back ..
Yaani anacheza hovyo sana sana, kwanzia mechi mbili zilizopita amegoma kubadilika.
Yaani akifika kwenye box tu ndiyo utaona ujinga wake kwanza anapiga mpira kaangalia chini, analenga kwenye miguu ya watu!
Halafu anapaparika sana kama amepagawa.
Sikuhizi hata kukaba pia nako anachelewa sana
Nashauri acheze winga kama alipokuwa huko Morocco na kule singida.
Sielewi kwanini David bryson aliuzwa
Huyu alikuwa beki anayetufaa kabisa, ana uwezo mkubwa sana wa kupanda na kushuka sana yupo pale jkt kwanini asirudishwe tu kwa dau la kitanzania la kawaida?
Halafu kuna huyu Boka amekuwa akishinda hospital zaidi kuliko uwanjani, tulimuacha lomalisa sababu tuliambiwa kuwa hakutaka kusaini mwanzo ila mwishoni akabadilika na kutaka kusaini ila uongozi ukawa umeshamfungia milango!
Lakini huyu jamaa alikuwa ni mbavu ya kushoto ya viwango vikubwa sana licha ya umri wake, hawa Boka na kibabage wote hawafiki hata nusu ya lomalisa!
Wabadilike ama mabadiliko yatawabadilikia! Kibabage anashindwa nini kuangalia video clip za lomalisa ajifunze? Aangalie ile match ya yanga na club africain kule Tunisia aone jinsi beki ya kushoto inavyochezwa na mzee mzima Joyce mutambala lomalisa.
Kama huyu boka anatabirika kirahisi sana unajua tu huyu anataka kupiga Cross basi wanamuwahi miguuni kwa tackling.
Wabadilike hao wawili