Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

Aziz Andambwile kwanza amesajiliwa kimakosa. He is an average player. Hivyo hawezi kuisaidia Yanga kusonga mbele. Na huu ni ukweli mchungu kwake.

Bora hata ya Yusufu Kagoma alikuwa ni msaada kama asingekimbilia simba.
Lomalisa baada ya mara ya kwanza kuzingua, badae akataka kubaki mkaleta zenu ohhh nafasi yako imezibwa...ngoja yawakute Utopwinyo.
 
Sijasema kuwa alikuwa anamfikia,nimesema kuwa no 3 upande wa pili alikuwa Twaha Hamidu,pia nimesema hapo nyuma kwa zaidi ya miaka 35 iliyopita hakuna no 3 nchini, aliekuwa bora kama Mkapa,Shabalala angeweza kumfikia ingawa Mkapa alichomzidi ni kuwa Mkapa alikuwa na nguvu na ubabe pia alikuwa mfungaji mzuri wa mashuti ya mbali na free kick,nakumbuka mwaka 1992 alipomtungua Mwameja goli kwa shuti la mita nyingi,kisha wiki iliyofuata akawafunga Ismailia kwa umbali uleule.
To much chumvi, uwezo wa Noriega vs Mkapa hautofatiani sana, Mkapa ni kweli alikuwa mfungaji ila Noriega alikuwa anapanda mbele kusaidia mashanbulizi....beki bora wa kushoto mpaka sasa kwangu alikuwa Alphonce Modest...
 
Kimsingi Joseph Guede alitakiwa kubaki ni basi tu siasa zetu hizi za soka jamaa angepewa muda kama wa dube angefunga zaidi imagine game zile sita tu magoli 9kama sikosei
nadhani bado anahitajika guede kwa vyovyote vile na kwa vile SINGIDA BLACK STARS tuna mahusiano nao mazuri tutabadilishana nao JEAN OTHOS BALEKE kwa vile jamaa nana mchango wowote mpaka sasa. najua guede akija yanga atajiamini na kufanya makubwa na baleke akienda singida atajitafta na kujipata huko! Mungu wabariki na wafungue akili na ufahamu na neema au bahati ya kuliona na kulifanyia kazi. Mungu fanya wepesi eng. Hersi aone coment hii amina
 
Umeandika Kirahisi Sana,,Mmeshalewa vichupa vya ghahawa Hapo Kijiweni Kwenu
 
Sijasema kuwa alikuwa anamfikia,nimesema kuwa no 3 upande wa pili alikuwa Twaha Hamidu,pia nimesema hapo nyuma kwa zaidi ya miaka 35 iliyopita hakuna no 3 nchini, aliekuwa bora kama Mkapa,Shabalala angeweza kumfikia ingawa Mkapa alichomzidi ni kuwa Mkapa alikuwa na nguvu na ubabe pia alikuwa mfungaji mzuri wa mashuti ya mbali na free kick,nakumbuka mwaka 1992 alipomtungua Mwameja goli kwa shuti la mita nyingi,kisha wiki iliyofuata akawafunga Ismailia kwa umbali uleule.
Sawa kabisa...
 
nadhani bado anahitajika guede kwa vyovyote vile na kwa vile SINGIDA BLACK STARS tuna mahusian o nao mazuri tutabadilishana nao JEAN OTHOS BALEKE kwa vile jamaa nana mchango wowote mpaka sasa. najua guede akija yanga atajiamini na kufanya makubwa na baleke akienda singida atajitafta na kujipata huko! Mungu wabariki na wafungue akili na ufahamu na neema au bahati ya kuliona na kulifanyia kazi. Mungu fanya wepesi eng. Hersi aone coment hii amina
Hata mimi sielewi kwa nini Guede aliachwa.
 
Back
Top Bottom