Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

Katika hao maadui watatu wewe automatically unaangukia kwenye ujinga.

Kuleta siasa kwenye jukwaa la michezo inakushusha vyeo.

Shida hazijawahi kufanya maisha mengine yasiendelee. Watawala watakapotuvushwa kwenye kikomo cha mwisho wa uvumilivu sio Mbowe, sio Lissu, sio Zitto atakayewashawishi tuingie.
Jinga hilo
Halafu kila uzi anapaste hilo li licomment lake
 
Yule dogo wa Azam anaitwa Pascal Msindo anatufaa sana. Ni heri Boka apunguzwe aje Pascal Msindo na Kibabage wasaidiane ili nafasi ya mchezaji wa kigeni tujazie kwingine.
Mkuu kwanini
Kibabage ndiyo asimpishe msindo halafu boka na msindo wasaidiane? Hapo nguvu itakuwa kubwa kidogo

Kibabage uwezo wake hawezi kumkuta misndo aseeh angalau Boka so hapo tutakuwa hatujapishana sana nguvu.

Hata hivyo mawqzo yako ni mazuri sana na nimeyapenda
 
I salute you kinsmen..
Huyu bwana mdogo mwanzo tulikuwa na matarajio naye makubwa sana

Lakini siku zinavyozidi kwenda kibabage amegoma kuwa modern full back ..

Yaani anacheza hovyo sana sana, kwanzia mechi mbili zilizopita amegoma kubadilika.

Yaani akifika kwenye box tu ndiyo utaona ujinga wake kwanza anapiga mpira kaangalia chini, analenga kwenye miguu ya watu!
Halafu anapaparika sana kama amepagawa.

Sikuhizi hata kukaba pia nako anachelewa sana

Nashauri acheze winga kama alipokuwa huko Morocco na kule singida.

Sielewi kwanini David bryson aliuzwa
Huyu alikuwa beki anayetufaa kabisa, ana uwezo mkubwa sana wa kupanda na kushuka sana yupo pale jkt kwanini asirudishwe tu kwa dau la kitanzania la kawaida?

Halafu kuna huyu Boka amekuwa akishinda hospital zaidi kuliko uwanjani, tulimuacha lomalisa sababu tuliambiwa kuwa hakutaka kusaini mwanzo ila mwishoni akabadilika na kutaka kusaini ila uongozi ukawa umeshamfungia milango!

Lakini huyu jamaa alikuwa ni mbavu ya kushoto ya viwango vikubwa sana licha ya umri wake, hawa Boka na kibabage wote hawafiki hata nusu ya lomalisa!

Wabadilike ama mabadiliko yatawabadilikia! Kibabage anashindwa nini kuangalia video clip za lomalisa ajifunze? Aangalie ile match ya yanga na club africain kule Tunisia aone jinsi beki ya kushoto inavyochezwa na mzee mzima Joyce mutambala lomalisa.

Kama huyu boka anatabirika kirahisi sana unajua tu huyu anataka kupiga Cross basi wanamuwahi miguuni kwa tackling.

Wabadilike hao wawili
Kukosa akili changamfu. Kila kitu kinahitaji akili kuchanganya haraka hata kama kinahitaji nguvu.

Nilishamuona Kibabage na Kibu akili zao ni nzito zinachelewa kuchanganya. Miaka yote hiyo Kibabage hawezi kufungia mguu wa kulia. Kibabage akiwa kwenye boksi akapewa pasi ya kufungia mguu wa kulia atalazimisha afungie mguu wa kushoto kwa sababu akili yake ilishagoma kupigia mguu wa kulia.
 
Ndiyo ukweli wenyewe chief
Hii inanipa maswali sana huwa wanapogana misumari au namna gani?
Bryson alikuwa akipona anapata pancha tena!

Beki wa kati mmoja asilia kabisa Aletwe sasa wenyewe wanaforce andambwile acheze beki ya kati na mwenyewe majeraha mengi.

Hatutakj mambo kama ya jana mwishoni job anatoka halafu Duke anaenda kucheza na Bakari kati nooo!

Na hiyo ndiyo sababu tukapoteza mchezo na tabora sababu ya kukosa replacement halisi ya hizo nafasi ulizotaja,

Naskia viongozi wanataka kumalizana na yule winga mkongo kashatua dar

Sasa ndiyo yale yale wanaleta winga tena.
Aziz Andambwile kwanza amesajiliwa kimakosa. He is an average player. Hivyo hawezi kuisaidia Yanga kusonga mbele. Na huu ni ukweli mchungu kwake.

Bora hata ya Yusufu Kagoma alikuwa ni msaada kama asingekimbilia simba.
 
Kuna Yule Pascal MSINDO Wa Azam, Vp Yule jamaa si Anatufaa Yanga !??

kuhusu Usajili Viongozi wa Yanga Wakubali From Genesis Walizingua... Unamuachaje MTU kama Lomalisa !? Unaingiaje Kwenye Mashindano Ukiwa na Beki wa Kati Watatu tu !? Kuna Kadi, injuries, Uchovu Yote Hayo Hawakuyajua !?? Kwanini Walimuacha Gift Fred !? Haya Basi Wangesajili hata Beki Mzawa. Hope Wamejifunza Na Dirisha Hili Dogo Wataleta Watu.
Msindo ndiyo aliyefanya maisha ya Sidibe kuwa magumu pale azam
Bonge moja la full back huyu
 
Kukosa akili changamfu. Kila kitu kinahitaji akili kuchanganya haraka hata kama kinahitaji nguvu.

Nilishamuona Kibabage na Kibu akili zao ni nzito zinachelewa kuchanganya. Miaka yote hiyo Kibabage hawezi kufungia mguu wa kulia. Kibabage akiwa kwenye boksi akapewa pasi ya kufungia mguu wa kulia atalazimisha afungie mguu wa kushoto kwa sababu akili yake ilishagoma kupigia mguu wa kulia.
Hapa sasa tunapata mawqzo ya watu wenye ujuzi mkubwa

Hilo nimejiuliza mara nyingi sana sana

Kuna muda alikuwa karibu na goli akapewa pasi mguu wa kulia yeye akaisogeza kushoto ndio apige watu wakablock chap

Halafu hiyo ina maana anatabirika! Nadhani ndiyo sababu anashindwa kupiga Cross sababu wamemkariri anatumia left pekee

Anapaswa autrain mguu wake hata kwa kuforce mwenzie aziz ki anapigiaga wa kulia sometimes ila yeye aaah

Kibwana shomari anatumia sana mguu wa kulia lakini hata ukimpanga kushoto anazima tu hana noma why yeye kibabage
 
Aziz Andambwile kwanza amesajiliwa kimakosa. He is an average player. Hivyo hawezi kuisaidia Yanga kusonga mbele. Na huu ni ukweli mchungu kwake.

Bora hata ya Yusufu Kagoma alikuwa ni msaada kama asingekimbilia simba.
Lakini Andambwile hajapewa nafasi ya kutosha, na hata hizo chache alizopewa hajawahi kuharibu
 
Sijui Rais wetu alidnganywa na nani?

Kagoma kiungo kweli tuache utani kabisa alishaonesha ubora wake tangu kule singida sasa ni fountain Gate.

Huyu andambwile tulidanganywa anazima na beki ya kati ni average player kwa kweli aachwe afadhali hata yule jamaa wa singida somebody kitu kama habit gego kiungo kweli kweli
 
Lakini Andambwile hajapewa nafasi ya kutosha, na hata hizo chache alizopewa hajawahi kuharibu
Lakini hatuwezi kukaa na mchezaji ambaye anashinda sana hospital kuliko uwanjani halafu alicheza na tobora kidogo tu akaumia mpaka leo!

Huyu hapana mkuu tutafute kiungo mzawa mwengine tu kwa kweli
 
Farid Musa akichezq mbavu ya kushoto ana umahiri mkubwa kuliko kibabage!
Mtanisamehe wanajamvi
Alishacheza na tukaona uwezo wake mkubwa katika kushambulia akifika kwenye mitaa ya 18.

Shida ya farid ilikuwa kukaba kidogo lakini alijitahidi sana sana hata huko kukaba alikuwa pia anajitahidi kurudi kwa wakati japo sio nafasi yake

Sasa sijui kwanini hachezi hiyu kiraka?
 
Sema David Bryson aliutumia muda wake mwingi akiwa majeruhi wakati anaichezea Yanga. Ila tangu amejiunga na JKT, hakika amekuwa ni beki bora wa kushoto ukimlinganisha na Kibabage.

Na kiukweli Yanga inahitaji kufanya maboresho sahihi kwenye kikosi chake kwenye dirisha dogo la Januari. Walinzi wawili wa kushoto na kulia, mlinzi mmoja wa kati, kiungo mkabaji mmoja na mshambuliaji wa kati mmoja. Maeneo mengine sioni kama yana shida sana.
Uko sa
 
I salute you kinsmen..
Huyu bwana mdogo mwanzo tulikuwa na matarajio naye makubwa sana

Lakini siku zinavyozidi kwenda kibabage amegoma kuwa modern full back ..

Yaani anacheza hovyo sana sana, kwanzia mechi mbili zilizopita amegoma kubadilika.

Yaani akifika kwenye box tu ndiyo utaona ujinga wake kwanza anapiga mpira kaangalia chini, analenga kwenye miguu ya watu!
Halafu anapaparika sana kama amepagawa.

Sikuhizi hata kukaba pia nako anachelewa sana

Nashauri acheze winga kama alipokuwa huko Morocco na kule singida.

Sielewi kwanini David bryson aliuzwa
Huyu alikuwa beki anayetufaa kabisa, ana uwezo mkubwa sana wa kupanda na kushuka sana yupo pale jkt kwanini asirudishwe tu kwa dau la kitanzania la kawaida?

Halafu kuna huyu Boka amekuwa akishinda hospital zaidi kuliko uwanjani, tulimuacha lomalisa sababu tuliambiwa kuwa hakutaka kusaini mwanzo ila mwishoni akabadilika na kutaka kusaini ila uongozi ukawa umeshamfungia milango!

Lakini huyu jamaa alikuwa ni mbavu ya kushoto ya viwango vikubwa sana licha ya umri wake, hawa Boka na kibabage wote hawafiki hata nusu ya lomalisa!

Wabadilike ama mabadiliko yatawabadilikia! Kibabage anashindwa nini kuangalia video clip za lomalisa ajifunze? Aangalie ile match ya yanga na club africain kule Tunisia aone jinsi beki ya kushoto inavyochezwa na mzee mzima Joyce mutambala lomalisa.

Kama huyu boka anatabirika kirahisi sana unajua tu huyu anataka kupiga Cross basi wanamuwahi miguuni kwa tackling.

Wabadilike hao wawili
Peleka ukinga wako na Bryson wako huko. Mpumbaf wewe unatumwa na Bryson kuandika uzi wa kijinga ukidhani tutau-ssupport.! Eti kaanzishe uzi uwaponde wale beki tatu wawili ili Bruson arudishwe.
 
Poa
 
I salute you kinsmen..
Huyu bwana mdogo mwanzo tulikuwa na matarajio naye makubwa sana

Lakini siku zinavyozidi kwenda kibabage amegoma kuwa modern full back ..

Yaani anacheza hovyo sana sana, kwanzia mechi mbili zilizopita amegoma kubadilika.

Yaani akifika kwenye box tu ndiyo utaona ujinga wake kwanza anapiga mpira kaangalia chini, analenga kwenye miguu ya watu!
Halafu anapaparika sana kama amepagawa.

Sikuhizi hata kukaba pia nako anachelewa sana

Nashauri acheze winga kama alipokuwa huko Morocco na kule singida.

Sielewi kwanini David bryson aliuzwa
Huyu alikuwa beki anayetufaa kabisa, ana uwezo mkubwa sana wa kupanda na kushuka sana yupo pale jkt kwanini asirudishwe tu kwa dau la kitanzania la kawaida?

Halafu kuna huyu Boka amekuwa akishinda hospital zaidi kuliko uwanjani, tulimuacha lomalisa sababu tuliambiwa kuwa hakutaka kusaini mwanzo ila mwishoni akabadilika na kutaka kusaini ila uongozi ukawa umeshamfungia milango!

Lakini huyu jamaa alikuwa ni mbavu ya kushoto ya viwango vikubwa sana licha ya umri wake, hawa Boka na kibabage wote hawafiki hata nusu ya lomalisa!

Wabadilike ama mabadiliko yatawabadilikia! Kibabage anashindwa nini kuangalia video clip za lomalisa ajifunze? Aangalie ile match ya yanga na club africain kule Tunisia aone jinsi beki ya kushoto inavyochezwa na mzee mzima Joyce mutambala lomalisa.

Kama huyu boka anatabirika kirahisi sana unajua tu huyu anataka kupiga Cross basi wanamuwahi miguuni kwa tackling.

Wabadilike hao wawili

Dickson Job ni mwamba

Kibabage timu imemzidi ukubwa
 
Alishacheza na tukaona uwezo wake mkubwa katika kushambulia akifika kwenye mitaa ya 18.

Shida ya farid ilikuwa kukaba kidogo lakini alijitahidi sana sana hata huko kukaba alikuwa pia anajitahidi kurudi kwa wakati japo sio nafasi yake

Sasa sijui kwanini hachezi hiyu kiraka?
A guy Kibabage hamna sehemu anafanya vizuri katika vyote viwili. At least ujue kuwa anaweza kukuoffer kimoja kati ya viwili.
Kuna sajili tunafanya ili mradi, hatuendani na mahitaji yetu bali tunasajili kwa sababu mchezaji fulani anapatikana kwa wakati huo.
 
Bado ana room ya kubadilika kama mwenzie job sababu kama vimo wote ni wafupi tu ila mwenzie job anajituma sana na mjanja
 
Back
Top Bottom