Kibabage amegoma kubadilika, mbadala wake huyu anatufaa sana aletwe..

Jinga hilo
Halafu kila uzi anapaste hilo li licomment lake
 
Yule dogo wa Azam anaitwa Pascal Msindo anatufaa sana. Ni heri Boka apunguzwe aje Pascal Msindo na Kibabage wasaidiane ili nafasi ya mchezaji wa kigeni tujazie kwingine.
Mkuu kwanini
Kibabage ndiyo asimpishe msindo halafu boka na msindo wasaidiane? Hapo nguvu itakuwa kubwa kidogo

Kibabage uwezo wake hawezi kumkuta misndo aseeh angalau Boka so hapo tutakuwa hatujapishana sana nguvu.

Hata hivyo mawqzo yako ni mazuri sana na nimeyapenda
 
Kukosa akili changamfu. Kila kitu kinahitaji akili kuchanganya haraka hata kama kinahitaji nguvu.

Nilishamuona Kibabage na Kibu akili zao ni nzito zinachelewa kuchanganya. Miaka yote hiyo Kibabage hawezi kufungia mguu wa kulia. Kibabage akiwa kwenye boksi akapewa pasi ya kufungia mguu wa kulia atalazimisha afungie mguu wa kushoto kwa sababu akili yake ilishagoma kupigia mguu wa kulia.
 
Aziz Andambwile kwanza amesajiliwa kimakosa. He is an average player. Hivyo hawezi kuisaidia Yanga kusonga mbele. Na huu ni ukweli mchungu kwake.

Bora hata ya Yusufu Kagoma alikuwa ni msaada kama asingekimbilia simba.
 
Msindo ndiyo aliyefanya maisha ya Sidibe kuwa magumu pale azam
Bonge moja la full back huyu
 
Hapa sasa tunapata mawqzo ya watu wenye ujuzi mkubwa

Hilo nimejiuliza mara nyingi sana sana

Kuna muda alikuwa karibu na goli akapewa pasi mguu wa kulia yeye akaisogeza kushoto ndio apige watu wakablock chap

Halafu hiyo ina maana anatabirika! Nadhani ndiyo sababu anashindwa kupiga Cross sababu wamemkariri anatumia left pekee

Anapaswa autrain mguu wake hata kwa kuforce mwenzie aziz ki anapigiaga wa kulia sometimes ila yeye aaah

Kibwana shomari anatumia sana mguu wa kulia lakini hata ukimpanga kushoto anazima tu hana noma why yeye kibabage
 
Aziz Andambwile kwanza amesajiliwa kimakosa. He is an average player. Hivyo hawezi kuisaidia Yanga kusonga mbele. Na huu ni ukweli mchungu kwake.

Bora hata ya Yusufu Kagoma alikuwa ni msaada kama asingekimbilia simba.
Lakini Andambwile hajapewa nafasi ya kutosha, na hata hizo chache alizopewa hajawahi kuharibu
 
Sijui Rais wetu alidnganywa na nani?

Kagoma kiungo kweli tuache utani kabisa alishaonesha ubora wake tangu kule singida sasa ni fountain Gate.

Huyu andambwile tulidanganywa anazima na beki ya kati ni average player kwa kweli aachwe afadhali hata yule jamaa wa singida somebody kitu kama habit gego kiungo kweli kweli
 
Lakini Andambwile hajapewa nafasi ya kutosha, na hata hizo chache alizopewa hajawahi kuharibu
Lakini hatuwezi kukaa na mchezaji ambaye anashinda sana hospital kuliko uwanjani halafu alicheza na tobora kidogo tu akaumia mpaka leo!

Huyu hapana mkuu tutafute kiungo mzawa mwengine tu kwa kweli
 
Farid Musa akichezq mbavu ya kushoto ana umahiri mkubwa kuliko kibabage!
Mtanisamehe wanajamvi
Alishacheza na tukaona uwezo wake mkubwa katika kushambulia akifika kwenye mitaa ya 18.

Shida ya farid ilikuwa kukaba kidogo lakini alijitahidi sana sana hata huko kukaba alikuwa pia anajitahidi kurudi kwa wakati japo sio nafasi yake

Sasa sijui kwanini hachezi hiyu kiraka?
 
Uko sa
 
Peleka ukinga wako na Bryson wako huko. Mpumbaf wewe unatumwa na Bryson kuandika uzi wa kijinga ukidhani tutau-ssupport.! Eti kaanzishe uzi uwaponde wale beki tatu wawili ili Bruson arudishwe.
 
Kibabage hajui kupiga cross, hajui kufinya ni Bure kabisa anapata nafasi nyingi hanashibdwa zitumia
Uko sawa mechi na Al hilal alipata nafasi nyingi sana
 
Peleka ukinga wako na Bryson wako huko. Mpumbaf wewe unatumwa na Bryson kuandika uzi wa kijinga ukidhani tutau-ssupport.! Eti kaanzishe uzi uwaponde wale beki tatu wawili ili Bruson arudishwe.
Poa
 
Dickson Job ni mwamba

Kibabage timu imemzidi ukubwa
 
A guy Kibabage hamna sehemu anafanya vizuri katika vyote viwili. At least ujue kuwa anaweza kukuoffer kimoja kati ya viwili.
Kuna sajili tunafanya ili mradi, hatuendani na mahitaji yetu bali tunasajili kwa sababu mchezaji fulani anapatikana kwa wakati huo.
 
Bado ana room ya kubadilika kama mwenzie job sababu kama vimo wote ni wafupi tu ila mwenzie job anajituma sana na mjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…